Wapambanaji tukutane hapa

Wapambanaji tukutane hapa

#wakuu katika harakati zakutafuta maisha__nishahangaika sana (mm naishi dar) nataka nicheki upande wapili (naitaji mganga konki kabisa atakaeweza kunipatia utajiri ) mwenye connection plz naomba tuwasiliane mana maisha yabongo nimagumu sanaaa..! (Nataka mtaalam konki kabisa yan aliebobea kwenye kazi hizo sitaki hawa wanaosema toa laki tano ) __mdau yeyote anayejua anapopatikana mtu wahivyo naomba tuelekezane plz
Hakuna mganga anaeweza kukupa utajiri ikiwa ni mafanikio unayo mwenyewe ikiwa ni nuksi unazo mwenyewe jitafute kujieka sawa
 
Hahahah ile ni nini mkuu? Mbona ni noti za misimbazi tu zile
Hahahha kuna mshua anasali sali sana, nae ni Mkwasi kiasi ila ndio huo ukwasi wa mang'amu ng'amu alitaka kuhalalisha hizo pesa.

Basi wakashauriana na mkewe wakaziombee hizo pesa zao,wakafanya kama kutest mitambo wakadraw kama M100 wakasogea nazo church.
Ile wamepiga magoti na mkewe,mzee kasika bag la hela. Mchungaji kuweka tu mkono kichwani kwa huyo Mkwasi jamaa aliruka mithili ya chura wa Kihansi,bag la pesa kule!!! Yakaanza kutoka kama yale majani ya miti mapana yalokauka yakipepe hewani na kutokomea mpaka bag linabaki tupu.

This is true story!!
 
Naamini ukifika Njombe ukiulizia tu Nyumbanitu wadau watajua unachohitaji watakuelekeza namna ya kufika huko ukakutane na ule wa punje.

Au kama huo huutaki fika Image-Kilolo Iringa kuna fundi mmoja nahofia hata kumtaja hapa asije nigeuza tumbili.

Ukishindwa kwa huyo fundi wa kilolo sogea mpaka Songwe,Sogea mpaka hapo Mpemba kutana na jamaa anaitwa Shikunzi atakuvusha upande wa pili,nchi jirani kuna mtaalam wake atakupa ule wa Kidonda sugu.

Ukishindwa huko kote njoo PM nikupe mawasiliano ya mwanangu Matthew yuko Makambako hapo akupeleke kwa Mafundi wake wa Congo huko.
Mwamba image sehem gan namba 1 au 2 au 3 au 4 au 7 au 8...makanyaga au
 
Hahahha kuna mshua anasali sali sana, nae ni Mkwasi kiasi ila ndio huo ukwasi wa mang'amu ng'amu alitaka kuhalalisha hizo pesa.

Basi wakashauriana na mkewe wakaziombee hizo pesa zao,wakafanya kama kutest mitambo wakadraw kama M100 wakasogea nazo church.
Ile wamepiga magoti na mkewe,mzee kasika bag la hela. Mchungaji kuweka tu mkono kichwani kwa huyo Mkwasi jamaa aliruka mithili ya chura wa Kihansi,bag la pesa kule!!! Yakaanza kutoka kama yale majani ya miti mapana yalokauka yakipepe hewani na kutokomea mpaka bag linabaki tupu.

This is true story!!
Majani ya Mitiki😅
 
Mmmmh, hapo sikushauri kitu, ila kama wewe ni kijana njoo tufanye hata biashara ya nvuo za mitumba mikoani unachomoka kimaisha faster tu,
 
Naamini ukifika Njombe ukiulizia tu Nyumbanitu wadau watajua unachohitaji watakuelekeza namna ya kufika huko ukakutane na ule wa punje.

Au kama huo huutaki fika Image-Kilolo Iringa kuna fundi mmoja nahofia hata kumtaja hapa asije nigeuza tumbili.

Ukishindwa kwa huyo fundi wa kilolo sogea mpaka Songwe,Sogea mpaka hapo Mpemba kutana na jamaa anaitwa Shikunzi atakuvusha upande wa pili,nchi jirani kuna mtaalam wake atakupa ule wa Kidonda sugu.

Ukishindwa huko kote njoo PM nikupe mawasiliano ya mwanangu Matthew yuko Makambako hapo akupeleke kwa Mafundi wake wa Congo huko.
Dah ... upo vzri mkuuu
 
Ni ukweli ambao mgumu kueleweka ni hivi Waganga hawana uwezo wa kukupa utajiri ingekuwa hivyo koo zao zingejaa wakina Bhakhresa.Uganga ni ujanja ujanja tu wa watu fulani ambao hunufaika jamii ya watu wavivu i mean wapenda short cut,Wasiojielewa i mean hawajajikomboa kiakili.Unakuta mtu anaibiwa kiasi cha milioni moja then anakimbilia kwa mganga kuzitafuta badala ya kwenda polisi.Sasa kama waganga wanaweza kumdhuru au kumfanya arudishe hela basi kampuni zisingekuwa zinatangaza donge nono kwenye magazeti kumtafuta mtu alietokomea na mil 50 badala yake kwenye kila kampuni kungekuwepo muajiriwa kitengo cha mganga wa kienyeji ili apige Lamli kwenye kila tukio lisiloeleweka litakalotokea kwenye kampuni kama ikivyo mhasibu anavyowajibika na mambo yote yahusuyo fedha.Mimi nimekaa na babu yangu mganga wa kienyeji tumekula sana mi mbuzi,na mikuku ya majitu majinga na mengine ni ma viongozi makubwa tu serikalini ambapo babu yangu anayavisha mashuka meusi anayaogesha madawa ya mizizi kutoka porini.
YAANI NILICHOKUJA KUGUNDUA WAGANGA INCLUDE BABU YANGU wanacheza na kichwa chako unakuja na fikila zako kuwa mfanya kazi mwenzako mliogombana nae ndo huyo anaitwa mchawi wako unapewa dawa za uongo na kaushauri mwisho wa siku linaisha pito unalopitia unahisi mafekeche yamefanya kazi.WAGANGA WANA SAIL KWENYE ISSUE YA KUFANANISHA MATUKIO AU MATOKEO CHANYA UNAYOTEGEMEA NA STORI ZA VIJIWENI.Mfano pale kwa babu wateja wake wengi ni wachimba madini babu alivyo mjanja ametegesha masela wenye ushawishi kule mgodini wanashawishi watu waje kwa babu kwa kubaliano la gawio yaani mchezo unachezwa hivi shimo lolote litakalo tema dhahabu wale masela wanaiunganisha ile story kuwa Jamaa mwenye shimo lililotema alishawahi kumpeleka kwa babu ndo matokeo ya shimo kutema na wanaongezea kuwa hiyo siri mwenye shimo hawezi kukuambia hata kama ukienda kumuuliza.So ukienda kumhoji mwenye shimo akikana na ukarudi wanakuambia hawezi kukuambia siri ya mtaalam wake.SO UCHAWI NA UGANGA NA HATA MAMBO YA KILOKOLE,ALBADILI ni ujinga ambao haupo ila unakuzwa kwa promo za vijiweni na kusambazwa na wajinga.Asanteni
 
Back
Top Bottom