Wapambanaji tukutane hapa

Wapambanaji tukutane hapa

Daah pole sana.. izo mambo ngumu sana mkuu mwanzoni watakwambia kafara kuku,mbuzi au ng’ombe ila panapoendelea wanakuchangea achana na izo mambo tafuta jembe au bahari pesa zipo maeneo hayo
 
Dah unatumia hela hio kula au kufanyaje sasa na vipi kama ni nyingi sana au inakuwa ndogo?
Hata ingekua nyingi kiasi gani hakikisha unaitumia mpaka inaisha,kwa kifupi pesa ya leo isikutane na ya kesho.

Hao wengi wao ndio wale wazee wa "funga mlango,kila alie humu ndani leo bili juu yangu",jambo la kushangaza yeye hanywi.
 
Ila vitu kama magari na vinginevyo siunanunua ama nikula tu..?
 
Daah pole sana.. izo mambo ngumu sana mkuu mwanzoni watakwambia kafara kuku,mbuzi au ng’ombe ila panapoendelea wanakuchangea achana na izo mambo tafuta jembe au bahari pesa zipo maeneo hayo
Sahihi kabisa,yani hizi pesa kwa namna yoyote ile lazima zihusisue kafara ya damu. Wengi hujipa moyo kwa zile kauli za "Kama una kumi Ua mmoja tisa waishi vyema", jambo ambalo si kweli kwasababu time ikifika ni lazima utatakiwa kufyeka mwingine. Mwisho wa siku hata hao 9 walobaki nao utajikuta umewamaliza wote.
 
Kuna Mkwasi mmoja hapo Southern Highlands ana pesa nyingi sanaa ila ya moto,jamaa hatakiwi kujisaidia katika choo kingine zaidi ya kile choo special alichojijengea ndani ya jumba lake.
So jamaa hajawahi kushiriki msiba wowote wa ndugu zake huko kijijini kwao,wala hajawahi kutoka nje ya maeneo/mji ule.
Sasa ndugu yangu hiyo ni pesa au utumwa??
 
Ila miaka hii zipo njia ambacho haziumizi sana kama miaka yazamani__kuna watu wanapesa zamoto nawajua kabisa ila kila starehe wanafanya yan wapo kama walivyo watu wengine (misibani wanaenda yan chochote anafanya) tatizo hawezi kukupa connection
 
Mzee unajua kinacho cost watu wengi ni kuwa ule ushamba na tamaa ya pesa ila amini kwamba ingetokea ukapewa mill.200 tu za kuspendi na facility zote kama ma V8 na magari kadhaa ya kutesea mjini kama zawadi ukala maisha pesa ikaisha usingeweza kuwa na guts hata siku moja za kukimbilia utajiri wa magumashi sababu ushamba na pesa unakuwa huna.

Washamba wa pesa na ulimbukeni ndio wana ujasiri wa kujitoa muhanga hivyo
Sahihi Kaka,alafu kiuhalisia ile sio pesa Mkuu
 
Ila miaka hii zipo njia ambacho haziumizi sana kama miaka yazamani__kuna watu wanapesa zamoto nawajua kabisa ila kila starehe wanafanya yan wapo kama walivyo watu wengine (misibani wanaenda yan chochote anafanya) tatizo hawezi kukupa connection
Mkuu hawawezi kukuweka wazi masharti yao,ila tambua hakuna pesa rahisi hata siku moja.
Kuna jamaa nimesema anakalia pembe la ng'ombe mara tatu per week ila ukiyachek maisha yake unaweza kuyatamani,jamaa anakula bata,ukimuona kama ana furaha muda wote,ana miradi mikubwa town,n.k. Ila nyuma ya pazia jamaa ana stress balaa.
 
Back
Top Bottom