Wapalestina Hawajawahi kuwa rafiki wa Israel, Mufti wa Palestina akikaribishwa na Hitler!

Acha ujinga anza kuwa mtafiti kabla ya kulaumu au kupanua mdomo wako
Never-before-seen photos of Palestinian mufti with Hitler ties visiting Nazi Germany
SIO UJINGA ILA NIMEONGEA KWELI, Hauna point (ushahidi wa kueleza) kuwa huyo ni mufti wa Palestine, hizo picha na website hauwezi kuthibitisha, ukiambiwa changanya na zako, Ndio Yale yaliotokea Iraq, marekani anadai kuna silaha za NYUKLIA anaenda kuuwaa mamilioni ya watu bila ya ushahidi, IZO CHUKI ZENU DHIDI YA UISLAMU ZIMESHAJULUKANA TOKEA ENZI NA EZNI, kwani izo website unazofungua na kusoma zote zinamilikiwa na NANI??? Mutazidi kuendeleza skendo chafu na kufanya mauwaji but ukweli utabaki pale pale
 
UNAPOSEMA ISRAEL IPIGE PALESTINA NI SAWA NA KUSEMA KENYA IPIGE UGANDA. LENGO LAKO LILIKUWAKUWA NI KUENEZA CHUKI KUWA WAISLAM NDIO WAPIGWE. LAKINI USICHOKIJUA NI KUWA HATA WAKRISTO WENYEWE WANAPIGWA NA WAYAHUDI .WAISLAM NA WAKRISTO WOTE HAWARUHUSIWI KUINGIA JERUSALEM.
We ndo unaleta uislamu! Kwani kusema wapalestina ni kusema waislamu. Acha kuleta hisia zako lete hoja kujibu hoja.
 
UNAPOSEMA ISRAEL IPIGE PALESTINA NI SAWA NA KUSEMA KENYA IPIGE UGANDA. LENGO LAKO LILIKUWAKUWA NI KUENEZA CHUKI KUWA WAISLAM NDIO WAPIGWE. LAKINI USICHOKIJUA NI KUWA HATA WAKRISTO WENYEWE WANAPIGWA NA WAYAHUDI .WAISLAM NA WAKRISTO WOTE HAWARUHUSIWI KUINGIA JERUSALEM.
Wayahudi watandale wanashida sana AISEEEEE, tatizo mtoa maada anasikiliza propaganda chafu
 
Kuna wajinga wakimsikia Israel wanamuona kama Mungu hivi hadi reasoning zinawapotea!.. Hizi chuki mbaya sana na mufilisi.
 
SIO UJINGA ILA NIMEONGEA KWELI, Hauna point (ushahidi wa kueleza) kuwa huyo ni mufti wa Palestine, hizo picha na website hauwezi kuthibitisha, ukiambiwa changanya na zako, Ndio Yale yaliotokea Iraq, marekani anadai kuna silaha za NYUKLIA anaenda kuuwaa mamilioni ya watu bila ya ushahidi, IZO CHUKI ZENU DHIDI YA UISLAMU ZIMESHAJULUKANA TOKEA ENZI NA EZNI, kwani izo website unazofungua na kusoma zote zinamilikiwa na NANI??? Mutazidi kuendeleza skendo chafu na kufanya mauwaji but ukweli utabaki pale pale
Ungejua mimi ni Mwislamu usingepoteza muda wa kunituhumu. Nimchukie mwislamu mwenzangu nimpende nani? Ila ukweli lazima usemwe
 
Mkuu Jackal, thanks a lot for this important piece of historical information. Connect dots; Wapalestina marafiki wa Hitler; maadui wa Israel. Iran marafiki wa wapalestina; maadui wa Israel. Ujerumani taifa la Ulaya lenye uhusiano mzuri sana na Iran; mjerumani hasemi chochote kwa Iran. Kumbe ni maagano ya tangu enzi.
 
Kwanini sisi kama watanzania tuwajadili wao unafikiri wao hutujadiri sisi
 
Mkuu Jackal, thanks a lot for this important piece of historical information. Connect dots; Wapalestina marafiki wa Hitler; maadui wa Israel. Iran marafiki wa wapalestina; maadui wa Israel. Ujerumani taifa la Ulaya lenye uhusiano mzuri sana na Iran; mjerumani hasemi chochote kwa Iran. Kumbe ni maagano ya tangu enzi.
Pole sana vijana wa maagano hebu nambie wewe unaagano gani
 
Unahisi wanatambua mchango wa mapenzi yako juu yao
We unafikiri hao wapelestina wanajua kua unawatetea uku! Acheni kujipendekeza, Israel ni Taifa kama mataifa mengine ina haki ya kujilinda.
Na wapelestina wakileta chokochoko zao wache wapigwe tu hakuna namna.
 
Wengi mnapenda kupingana na nature. Lauti kama Israel isingekua kusudi la Mungu kuwepo lingekua limefutwa kitambo. Ko nyie kuichukia Israel hakutawasaidia mana litaendelea kuwepo.
Kila Taifa lipo kwa kusudi la Mungu hata Tanzania ipo kwa kusudi la Mungu.
Yaani mtanzani unaleta chuki kubwa kwa Israel kwa vile wapelestina wengi ni waislamu, utafikri hamjua nia ovu ya wapelestina na Irani kutaka kuifuta Israel. Sisi Watanzania ndo tunafikri ugomvi wa Israel na Palestina ni wa dini. Mi sitaki kuamini hilo mana kama ingekua ni wa kidini sidhani kama Israel ingekua na urafiki na Watu wa Kiarabu.
 
Hao palestina na israel hawationgelei ss na shida zetu
ila sisi tunawaongelea wao na matatizo yao tunayachukulia kama yetu kama sio upuuz n nn
 
We unafikiri hao wapelestina wanajua kua unawatetea uku! Acheni kujipendekeza, Israel ni Taifa kama mataifa mengine ina haki ya kujilinda.
Na wapelestina wakileta chokochoko zao wache wapigwe tu hakuna namna.
Wala mi siwatetei wapalestina na siwapingi waisrael lakini huwa nashangaa watu mnaotaka baraka kwa kuharalisha unyama wanaotendewa watu wengine
 
We unafikiri hao wapelestina wanajua kua unawatetea uku! Acheni kujipendekeza, Israel ni Taifa kama mataifa mengine ina haki ya kujilinda.
Na wapelestina wakileta chokochoko zao wache wapigwe tu hakuna namna.
Sawa muyahudi wa kigoma
 
We unafikiri hao wapelestina wanajua kua unawatetea uku! Acheni kujipendekeza, Israel ni Taifa kama mataifa mengine ina haki ya kujilinda.
Na wapelestina wakileta chokochoko zao wache wapigwe tu hakuna namna.

Hata enzi zile makaburu kule Afrika kusini walikuwa watawala "halali" ingawa wengi wa wananchi walikuwa weusi , mi sitoenda kwenye dini ila tutizame Nani kafanya nini !!! IstaeI Kabla ya 1945 haikuwepo Pale , walikuwepo watu wengine, wakatimuliwa na kupewa ardhi hao Israël. Usiniletee ushahidi wa kibiblia , wenhiwe wanalaumi na wengine hawaiamini. Wao wavamizi na wanalindwa na baadhi ya mataifa ya kimagharibi. Ilikuwa waletwe Uganda au Madagascar , na wangepewa uhalali wa maendeo hayo Pía .....
 
Wapalestina hawajawahi watakia mema wayahudi wala Israel acha wadundwe tu!
View attachment 765711 View attachment 765714 View attachment 765715 View attachment 765716
Palestinian Mufti of Jerusalem, Amin al Husseini, warmly welcomed by Hitler and other Nazi officers in 1941.

This kind of anti-Semitism among Palestinian leaders has not changed.

Kwanza tujue nani semite !!! Wote hao (wayahudi na warabu ni Semite) ila ukiwapinga warabu huitwi anti Semite .
Rejea historia ya Palestine mandate , walikuwepo wayahudi wanaishi pale na hakukuwa na mgogoro wowote , mpaka leo Tunisia kuna kuna wayahudi (sefardi ) wanaishi bila mashaka yoyote , yemeni pia walikuwepo , iran (hio nchi usemayo inataka kuifuta Israel) .
Fanya tafiti wa Zayon na israeI.....
Pia Hitler kapigwa picha na mapadri !! Ni kiongozi wa nchi alikuwa.
Unajua wale wanasayansi wa kinazi (walokiwa chini ya Hitler) wameenda wapi baadae ?
Ni hayo machache tu !!!
 
Mkuu Jackal, thanks a lot for this important piece of historical information. Connect dots; Wapalestina marafiki wa Hitler; maadui wa Israel. Iran marafiki wa wapalestina; maadui wa Israel. Ujerumani taifa la Ulaya lenye uhusiano mzuri sana na Iran; mjerumani hasemi chochote kwa Iran. Kumbe ni maagano ya tangu enzi.
Mkuu dudus umeendelea kunifungua macho.Uko vizuri,umeendelea kuunganisha dots!
 
Back
Top Bottom