sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 720
- 895
Kwa hii kazi bora nikabebe zege, kwa mimi kitendo cha kuchika tu mguu wa mwanamke mguu wangu wa tatu lazima usimame.
Ndio maana tunaambiwa hatuna nguvu za kiume, mtoto wa kiume uliekamilika unashika miguu ya wanawake kutwa nzima na uko poa tu! Hapana kabisa.