Mjifunze kutengeneza wake zenu mbona kutafuta hela mnaweza? Mi najua vyote mpaka massage shemeji yenu anapata ukiachilia kusafishwa kucha, nywele namnyoa mwenyewe hana haja ya kwenda salon. Tuepukane na uvivu tuchukue hatua kuboresha mahusiano na wenza wetu.
ile ni kazi bana
mtu akiamua kutembea nao basi kaamua kwa mapenzi yake tu
Kinachonikera wanapokuwa wanasuguliwa hiyo miguu yaani muda unavyozidi kwenda ndimwanatanua miguu..mi huwa simuelewi kabisa wife material na hii kitu..anakuja kwenye ki ist chetu twende home makongo kaiva macho kama kala ukwaju
Mkuu kuna ile barber shop moja survey road nilipigwa scrub, nikapigwa kamasaj flani ameizingiii na kulambwa kashingo ,nikamalizia kutoa tip! Yes tip!Kuna haja ya kujua km hawa jamaa ni rijali au lah! Yani salon za kiume wale wadada ni shida na huko nako mmh!!
Huyo hapoWeka picha tuone waif wako anavyotengenezwa!
Haah mi nshakatazwa kuhudumiwa na wakaka eti