jamani,karibu wiki sasa network ya internet ya tiGO haipatikani, kuna nini hapo? na mbona hatupati taarifa zozote?
Mbona mi napata au ndo inakuwaje? Labda mnipe shuleJamaa WatiGO sijui wanamatatizo gani maana net hakuna hakuna taarifa,
Yaani imekaa utadhani hao watendaji wanatumwa ili waaribu soko la tiGO maana mpaka sasa tiGO ndo mtandao unao ongoza Tanzania lakini hapo hapo unakuna watendaji wameuchuna jii.
Nadhani wakubwa watagundua tu! nini kinaendelea.
hii inasababisha watu wengine tuanze kurudi tena voda kwa ajili ya internet
Bei zake ziko juu 250 per 1 mb, halafu iko slow ile mbaya.Ni afadhali kutumia Zantel, kwa upande wa Internet tiGO wamechemsha ila mbaya,kwa ujumla wamefulia tu!Bei za Tigo zikoje?
Mdau naomba unisaidie internet settings unazotumia. Mfano apn na ip address na gateway. Napata mtandao sina hata setting moja cjui inakuwaje au ndo mambo ya dhcpjamani,karibu wiki sasa network ya internet ya tiGO haipatikani, kuna nini hapo? na mbona hatupati taarifa zozote?
Mdau naomba unisaidie internet settings unazotumia. Mfano apn na ip address na gateway. Napata mtandao sina hata setting moja cjui inakuwaje au ndo mambo ya dhcp