Waosha magari! Mungu anawaona..!

Waosha magari! Mungu anawaona..!

Mie huwa nampaga mlinzi wa ofisini kwetu anaiosha tena inakuwa swafiiiiiiii
 
Ofisin kwetu poa sana, mlinzi anaosha kwa buku 2 ila kwa sasa upope umebadilika mpaka buku 1 anachukua
 
Ni bora waoshe gari na wewe ukiwa hapo hapo cz hii inatokea pale tunapojiona tuko bize na kumuachia gari muoshaji kama una haraka kwanini usije siku nyingine inabidi tukubaliane na hayo matokeo

Hiyo ndiyo Bongo. Nchi ya ajabu kabisa. Gari yako ikioshwa lazima na wewe uwepo la sivyo watakuibia mafuta. Gari yako ikiwa garage lazima na wewe uwepo, fundi akiwa chini ya gari lazima uchungulie, n.k. la sivyo atakuibia spare nzuri na kupachika mbovu. Ukinunua nyanya au vitunguu lazima uwe mwangalifu kwani wanaweza kukuwekea zilizooza. Halafu tunashangaa kwa nini nchi haiendelei.
 
Tabia ya kupeleka gari lioshwe wewe unaondoka unarud after 2/3 hrs nayo inachochea hii mambo.

Wizi ni sifa ya Watanzania. Anayetaka kukuibia hata ukiondoka kwa robo saa tu utakuta ameshakuibia
 
Acheni uvivu kuosha magari yenu majumbani kwenu mnashindwa nini. Nyakati mbovu hivi me naosha gari yangu nyumbani tangia upepo ubadilike na nimegundua linakuwa safi kweli kweli ndani na nje [emoji13][emoji13]
Kuna watu wanaosha gari kila siku....3000*30*12=1,080,000/- kwa mwaka.
 
Acheni uvivu kuosha magari yenu majumbani kwenu mnashindwa nini. Nyakati mbovu hivi me naosha gari yangu nyumbani tangia upepo ubadilike na nimegundua linakuwa safi kweli kweli ndani na nje [emoji13][emoji13]
Kuosha toyo ni tofauti na gari best
 
Back
Top Bottom