Waoow!! She is 6 days-old

She's too old! Na kwanini mtoto wa kike anafanana nawe Mungi?
 
Last edited by a moderator:
hongera Mungi.....

Anza kufuga mbwa mapemaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Wale mbwa wako wakali sana Mungi. Last night wamenitimuaje? BTW binti anaendeleaje? Naomba nifanye booking ya kumuoa, so nipe idadi ya ng'ombe wanaohitajika.
 
Last edited by a moderator:
Wale mbwa wako wakali sana Mungi. Last night wamenitimuaje? BTW binti anaendeleaje? Naomba nifanye booking ya kumuoa, so nipe idadi ya ng'ombe wanaohitajika.

hah hah hah hah! Acha kuleta umasai kwa mtoto wa Mungi!
 
Last edited by a moderator:
6days old afu ana jicho zuri kuliko la kwangu! Hii dunia inaelekea wapi? Muambie mama mkwe ashaanza kumuonea wivu mkamwana wake kabla hata hajachezwa. Hongera baba.
 
6days old afu ana jicho zuri kuliko la kwangu! Hii dunia inaelekea wapi? Muambie mama mkwe ashaanza kumuonea wivu mkamwana wake kabla hata hajachezwa. Hongera baba.
Mke mwenza King'asti mbona twapishana sana ?
 
Hongera sana Mungi... Mungu akukuzie binti yako katika misingi ya dini,awe mtulivu na mwenye heshima. Kubwa afanikiwe katika maisha yake.
 
Hongera sana mkuu?

Ndo maana hukuja kwenye mkutano ? Pole kwa night shift!
 
Hongera sana Mungi !!Mungu amtunze mtoto pamoja na nyie wazazi wake ili mle mema ya nchi
 
Last edited by a moderator:
Waungwana asanteni sana............... sweetlady ndo kama tulivyoongea sawa? kidole kimoja hakivunji chawa bana niite nikuitikie
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…