WAONGO HAWAWEZI KUSEMA UKWELI DAIMA

WAONGO HAWAWEZI KUSEMA UKWELI DAIMA

Ability JM

Member
Joined
May 10, 2019
Posts
5
Reaction score
4
Uongo Ni tabia,uongo Ni mfumo,lakin uongo Ni Haiba hasa ya watu wasiopenda ukweli.
Tarehe 05 March 2019,waziri wa madini Mh Dotto Meshack Bitteko,alihutubia mkutano wa wananchi ktk viwanja vya Nyamongo secondary

Mh Bitteko aliambatana na viongozi mbalimbali akiwemo mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini Ndg John Heche,Mbunge wa vitu maalumu Agnes Marwa,Mkuu wa Mkoa,Ndg Adam Kighoda Malimaa.

Mh Dotto aliwambia wananchi waliokuwa wakimsubilia kwa shauku na hamu kubwa,siku hiyo ndo siku ya kihstoria ya kuanua matanga ya matatizo yao ya miaka mingi toka ulipoanzishwa mgodi wa North Mara Gold Mine

kama ilivyo kawaida ya viongozi wengi waliopita kwenye wizara hiyo,Mara nyingi wanapoenda Nyamongo,huwa wanakwenda kwanza ndani ya mgodi na baadae kwa wananchi,na Mara nyingi wananchi wamekuwa wakilalamikia kitendo hicho kuwa ukishaingia ndani ya mgodi Ni lazima upewe zawadi ya kukunyamazisha ili usitatue kero za wananchi

Dotto Ni waziri wa wizara,wakati anaongea na wananchi,waliwahakikishia wananchi wa nyamongo kuwa matatizo ya Nyamongo yasingeliweza hata kuchuwa mwezi kumalizika,Leo Ni tarehe 12 may 2019 yaani miezi miwili bila mafanikio

waliozoe kusema Uongo,hawawezi kusema kweli DAIMA,
waziri aliagiza mgodi kusimamia suala la sheria na kuhakikisha watu wanaondolea katika maeneo hatarishi,lakin Hadi Leo mgodi haujatekeleza hata Jambo moja,hii inamaana kuwa waziri Ni muongo ama waziri tayari yumo ndani ya mfuko wa mgodi

waziri alienda mbali zaidi hata na kutishia kufunga mgodi endapo usingetekeleza maagizo ya serikali,lakin Hadi Leo hakuna hata moja limetekelezwa,je waziri ameshindw ajiuzuru kwa kushindwa kusimamia sheria?

wananchi wanaoishi kandokando ya mgodi wanaumia na maji machafu,milipuko mizito,vumbi na kelele za machine,je serikali hailioni hili? Au wanataka Nani aumie ndo hatua zichukuliwe?
 
Serikalinya CCM ni ile ile jana, leo na kesho. Usitegemee jipya toka kwa hao watu zaidi ya uongo na fix
 
Mgodi uwepo Nyamongo isiwepo, Nyamongo iwepo Mgodi usiwepo chagua moja hapo ndio suluhu la hapo Nyamongo.. Uwepo wa Mgodi hapo unafanya eneo lote la Nyamongo kuwa hatarishi.. Mji uamie mbele ya Nyaruana kama unaelekea Tarime labda angalau ndio unaweza kusema kutakuwa na usalama kwa wananchi dhidi ya shughuli za Mgodi..

Vipi Makaranga panaendeleaje, bado Mongo to tarime mnatumie vile vicorola dx au mmeanza kutumia coasters, Mama Frank yupo bado?, Vijana wa kwinogo, Pili kiuno bado anaoperate na bidhaa zake zile..hahahahahaa dah I miss Nyamongo naweza kuandika kitabu na mahala pale..dah Ugali wa Mtama na Kichuri si mchezo.
 
Uongo Ni tabia,uongo Ni mfumo,lakin uongo Ni Haiba hasa ya watu wasiopenda ukweli.
Tarehe 05 March 2019,waziri wa madini Mh Dotto Meshack Bitteko,alihutubia mkutano wa wananchi ktk viwanja vya Nyamongo secondary

Mh Bitteko aliambatana na viongozi mbalimbali akiwemo mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini Ndg John Heche,Mbunge wa vitu maalumu Agnes Marwa,Mkuu wa Mkoa,Ndg Adam Kighoda Malimaa.

Mh Dotto aliwambia wananchi waliokuwa wakimsubilia kwa shauku na hamu kubwa,siku hiyo ndo siku ya kihstoria ya kuanua matanga ya matatizo yao ya miaka mingi toka ulipoanzishwa mgodi wa North Mara Gold Mine

kama ilivyo kawaida ya viongozi wengi waliopita kwenye wizara hiyo,Mara nyingi wanapoenda Nyamongo,huwa wanakwenda kwanza ndani ya mgodi na baadae kwa wananchi,na Mara nyingi wananchi wamekuwa wakilalamikia kitendo hicho kuwa ukishaingia ndani ya mgodi Ni lazima upewe zawadi ya kukunyamazisha ili usitatue kero za wananchi

Dotto Ni waziri wa wizara,wakati anaongea na wananchi,waliwahakikishia wananchi wa nyamongo kuwa matatizo ya Nyamongo yasingeliweza hata kuchuwa mwezi kumalizika,Leo Ni tarehe 12 may 2019 yaani miezi miwili bila mafanikio

waliozoe kusema Uongo,hawawezi kusema kweli DAIMA,
waziri aliagiza mgodi kusimamia suala la sheria na kuhakikisha watu wanaondolea katika maeneo hatarishi,lakin Hadi Leo mgodi haujatekeleza hata Jambo moja,hii inamaana kuwa waziri Ni muongo ama waziri tayari yumo ndani ya mfuko wa mgodi

waziri alienda mbali zaidi hata na kutishia kufunga mgodi endapo usingetekeleza maagizo ya serikali,lakin Hadi Leo hakuna hata moja limetekelezwa,je waziri ameshindw ajiuzuru kwa kushindwa kusimamia sheria?

wananchi wanaoishi kandokando ya mgodi wanaumia na maji machafu,milipuko mizito,vumbi na kelele za machine,je serikali hailioni hili? Au wanataka Nani aumie ndo hatua zichukuliwe?
Haijawahi tokea wala haitatokea wao kuachana na uongo. Maana wanatawala kwa uongo na wananchi wanaridhika wanapoambiwa uongo.
Jina WADANGANYIKA halikuja burebure...
 
Back
Top Bottom