Waogope sana hawa watu...!

yes mkuu!
Umenipa kitu cha kuongezea,ukiwa mtu halisi na kukubaliana na baadhi ya hali utafahamu mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesomeka mkuu.
 
Hapo #3 na 6 zinashabihiana na tabia zangu ila sina IQ kubwa hivyo maana naona niko kawaida tu
Hao wanaokuangalia wanacheka wengi wao ni majizi tena wizi ule wa kimasikini kabisa wa kuweka hata mayai mfukoni wakiwa kwako au kukuibia vitu ambavyo hata akikuomba unaweza kumpa
Huu ushuhuda nimeuona kwa watu wanne tofauti


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa wizi wa kimaskini,ila upo sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…