[emoji2][emoji2]Kuna mtu ananionesha sana hiyo tabia namba 1 wacha nimsome nijue yuko kundi gani A au B
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kila dalili za kuwa kundi B ila ngoja niendelee kumsoma.[emoji2][emoji2]
ndio mkuu,kuwa na subira tuu utamuelewa!cha muhimu chambua maneno yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteTupe mwendelezo mkuu
tufanye upo serious ila hujajaliwa intelligence ya kuwasoma watu,kuna ambayo umejaliwa-upo normalSipendi ujinga na ndiyo maana sipendi kucheka cheka
So, sijuhi nipo Group gani"
Mkuu hata hiyo unasema ni ndefu duuu!! hivi kitabu cha page 10 utakisoma kweli wewe.Ndefu sana duh
hahhahhaHao wote unaosema tuwaogope, nao wanaogopa nyoka. Dawa ni kufuga mijoka Kama Nazjaz, ukinizingua nakuletea manyoka Kama Tisa hivi home kwako