Waoaji wapo, tatizo wanawake mmezidi tamaa sana

Hivi ni kweli wanawake wanaomba pesa kiasi hicho kweli..??
Mbona ni kama mnalikuza hili suala kuliko ukhalisia wenyewe..??

Hivyo hapa JF kila mwanaume anaombwa pesa na wanawake tofauti tofauti kila siku...?

Hebu tuoeni bhana, Acheni visingizio..!
Wanawake mnazingua yani kuna kabinti kila nikiongea nako lazima katengeneze mazingira yakuomba ela alafu huwa sikapi nishawah kukupa mara moja tu tena 15k tu na hakaachi kuomba najiulizaga kwa siku kanaomba watu wangapi mara umeme umeisha, mara kanaumwa, mara kamekwama nauli sababu zake ndo izo izo au labda ni kazi kama kazi zingine jioni mnafunga hesabu sisi hatujui
 
Anza kuish nako kuepusha changamoto ndg ndg na vizinga vya kipuuz km ivo
 
Kila wiki laki
Vipi kubwa au ndogo? Inategemea na kipato chako mkuu ,wife nampa laki hadi laki na 50 kama pocket money ya kitu chochote cha emergency kitakachotokea kila week ,kwa kufanya hivyo sijawahi ombwa hela ya nguo,lotion wala kusukwa.

Wakina MO/DAVISMOSHA/SUPERBILIONEA BOMAYE NYE NYE NYE /BABA KIGANI/DAINAMO watakuwa wanatoa MAMILIOO kwa wiki/mwezi.
 
Back
Top Bottom