Waoaji wapo, tatizo wanawake mmezidi tamaa sana

Ili usiombwe ombwe pesa ,timiza majukumu yako.

Ukijiwekea ratiba ya kumpa kila week laki unafikiri atakuwa anakuomba omba hela ya kusuka,lotion,nguo? Mbona mademu hawana matumizi makubwa? Au unachukua maslay queen wanataka showoff za instagram au wanaohojiwa na onlineTV uchwara kwa mwaka wanalipa mil 84 kodi?
 
Hivi ni kweli wanawake wanaomba pesa kiasi hicho kweli..??
Mbona ni kama mnalikuza hili suala kuliko ukhalisia wenyewe..??

Hivyo hapa JF kila mwanaume anaombwa pesa na wanawake tofauti tofauti kila siku...?

Hebu tuoeni bhana, Acheni visingizio..!
Wanawake wanaomba sana hela, kuna muda hua nahis labda ni wanaoishi mwanza tu kumbe ni pote pote Dadeki
 
Ili usiombwe ombwe pesa ,timiza majukumu yako.

Ukijiwekea ratiba ya kumpa kila week laki unafikiri atakuwa anakuomba omba hela ya kusuka,lotion,nguo? Mbona mademu hawana matumizi makubwa? Au unachukua maslay queen wanataka showoff za instagram au wanaohojiwa na TV uchwara kwa mwaka wanalipa mil 84 kodi?
Kuna mwenye swali we mzee nahisi thread iishie hapa
 
Back
Top Bottom