Waoaji wapo ila hawana hela



Sasa nimeanza kuamini maneno ya esther vilar Karucee
 
Mmmh... ila mfano waarabu hawapendi hizo mambo mpaka ndoa na ukicheki ushatumia 5 milioni kwake. [emoji4]
Kama umempenda basi ukikutacho saizi yako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa ukikuta kisichojulikana basi
 
Kama umempenda basi ukikutacho saizi yako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa ukikuta kisichojulikana basi
Mmmh... Siyo kirahisi hivyo lazima uingie mkataba na makazi ya kuzimu. [emoji87]
 
Nikutunze kwani wewe kumbukumbu? Nikuweke ndani kwani wewe sofa? ati unakunywaa, unavaaa, kwani huna wazazi? KILA MTU AFANYE KAZI...Ndoa haina uhusiano wowote na Pesa.

Well and good.

But fact remains marriage is not for the broke.πŸ˜€πŸ˜€​
 
nani kamuingiza kwenye hilo baraza?[emoji20][emoji19]
Itabidi tufanye upelelezi. Kuna viashiria vya rushwa ya ngono kwenye hili baraza... kuna watu ni wa kutumbua na wengine tuwateue wawe mabalozi wanaosubiria vituo watakavyopangiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…