Wao wana pesa sisi tuna Mungu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wao wana pesa sisi tuna Mungu!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee wa Rula, Nov 2, 2010.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hebu sikia baadhi ya maneno aliyosema Lema wakati ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo la Arusha. "Wao wana pesa sisi tuna Mungu". Kwa kweli sikumuelewa alikuiwa anamananisha nini hapo.
  Wana JF changieni kidogo.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mbona inaeleweka ulikuwa hujui uchaguzi huu ulikuwa ni wa WENYEHAKI na MAFISADI
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Dada alimwaga pesa sana.....tulikula pesa na kura hatukumpa....nani mjanja hapo....ha ha ha
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aha ha ha ha h pesa wamekula na kura wamewanyima
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  umenikumbusha statement mmoja alisema mchungaji mmoja kuwa pokeeni pesa za mafisadi na kura muwanyime ndio haya nayaona sasa
   
Loading...