Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Waalimu hatutakiwi kuwaonea huruma kwa sababu ndio walioiweka CCm madarakani kwa kusaidia kuiba kura. Wanavuna walichopanda.
Wabunge posho sio 200,000 ni 380,000 hata kama ni 200;000 ni sawa na kima cha chini cha mshahara wa mwl tena sidhani kama ni 200,000 nadhani itakuwa chini ya hapo,sasa mbunge kwa masaa machache anapewa mshahara wa mwl au wa mtumishi wa serikali kima cha chini kumbuka huyu amesota mwezi mzima ndo malipo 200,000 mwenziwe siku 1 tena masaa machache hii ni halali eti maisha bora kwa kila mtanzania?nijibu ni wana jamii wenzangu?