Wanywaji wa Soda hatarini

basi sawa.
nitajitahidi kupunguza ila sio kuacha
 
Kwahyo SODA SUMU sababu ya SUKARI.....kuna juice inayotiwa CHUMVI?
 
Kansa ipi! au umemaanisha "kolapsheni"?
Ha ha ha haaaa

Hahahahaha unamtania Mkuu daah we bana we unaanza kumchokoza haya I wish i cud bi IGP ningekukamata, Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, hiiiiiiiii
 
Sisi wazungu tumewashika sana nyie Wapenda kudinya tupo kila sehemu kwenye Chakula, Vinywaji, Madawa, Mbegu za Mimea na tafiti hamna pa kutokea tulieni hivyo hivyo it's too late uncle Bill Gate anacheeekaa
 
Vyenye sumu ni vingi mno hata uongozi wa chama kile ni sumu maana unaua watu kwa kigezo cha wasiojulikana. Bora hizo soda kuliko wasiojulikana.
 
Kafein ipo kwenye chai na ipo kwenye kahawa pia.

Qummer ina asidi, sawa na vitu vingine vyote. Hata chungwa na nanasi.

Ukinywa soda kama kinywaji cha lishe utakua una matatizo yako binafsi.

Hatuonyeshwi soda (ikiwezekana kila aina) ina asidi kiasi gani, mwili unaweza kuvumilia kiasi gani na kiasi gani ni sumu.

Uandishi umejumuisha kila soda kwamba zina sukari, je bitter lemon? Club soda? Evervess? Zote zina range sawa ya hatari?

Kuna matundu mengi kwenye hiyo kazi ya ijuta kiasi kwamba ni vigumu kuiamini.
 
dah! Mimi nahisi nimeshakuwa addicted kabisa na soda. Ntajitahidi kupunguza matumizi ya soda.

vipi na hizi juice za kila namna siku hizi? Nazo hazina madhara?

lakini huu utafiti haupo kiuchochezi na kuharibu soko la vinywaji hvyo? Kwanini msilete na source za hizo tafiti zilizotajwa? Nadhani itapendeza kama mwisho wa makala hii ukaambatanisha na tafiti husika ili watu tujisomee.

source please!
 
Bahati sio mpenzi wa soda...mimi mwenda mma mwanzo mwisho..
 
Baba amekunywa mix soda na bia mpaka sasa miaka 60 yupo bombs sasa sijui sayansi hizi maana had na bidhaa ambayo ya kusimikwa haina madhara zote no makemiko tu tusidanganyane kesho watasema tuchemshe maji Kilimanjaro Nayo sumu
 
 
Jambo hili sio geni,it's common knowledge.Hata hivyo jambo linaloshangaza ni kwamba TFDA pamoja na uwepo wake,wako kimya kabisa kama ulivyosema, huku jamii ikiangamia.Inasikitisha sana kwa kweli.Mkuu kemikali inayoitwa aspartame pia ipo kwenye soda.Hii ni artificial sweetener ambayo ni sumu na very cancerous.Sasa inashangaza kwamba watu wanaendelea kung'ang'ania kunywa soda at their detriment.Hii inaonyesha kwamba elimu bado ni kidogo sana.Mkuu ni upuuzi wa kupindukia mtu kupinga jambo bila alternative facts.Kama mtu ana alternative information inayoonyesha kwamba soda ina manufaa kwa mwanadamu atuwekee hapa,otherwise anyamaze.Ila ukweli utabaki kwamba soda haziko fit for human consumption na it's a luciferian conspiracy to deliberately depopulate humanity.Taarifa authentic zipo.Asante sana kwa kutukumbusha.

Kwa mtizamo wangu mkuu afya za Watanzania ziko mashakani,kwa kuwa inaelekea hazina mtetezi.Kiukweli jamii inaangamia.Wale ambao walipaswa kututetea ndio wamegeuka kuwa collaborators wa conspirators.Nadhani kuna haja ya kuunda umoja wa kutetea afya za Watanzania(UMOKAWA) au Association for Defending the health of Tanzanians(ASODEHETA).
 
Asante mkuu, lkn linafahamika sana. Tena soda baridi hatari sana
 
Acha kunywa kabisa mkuu,nazenyewe zinaangukia huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…