Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
- Thread starter
-
- #81
mara ya kwanza kunywa castle lite sikuzielewa zilivyo laini ila siku hizi ndio kinywaji changuna sitakihama kabisa
Kumbe wewe ulikunywa BEAR? Sasa tafuta BEER
Taste and preference is the best assumption of individual who want to maximize his utility
Aisee mimi ni dume, samahani kukuuliza, je wewe nawe ni dume?
Nyie bavichaa, mnaambiwa na Katibu Mkuu wenu, kunywa gongo.
mimi ni dume pia na hii sio bia yangu ya kwanza kuinywa nimeshazunguka sana
Sio kwamba ni wewe tu 'umeshindikana'?
Ok, lakini katika zunguka yako ona sasa umepumuzika pasipo leta stimu kwa kichwa
Una hasira na Chadema haijapata tokea!, mimi sio chadema lakini vilevile sitaki chama kimoja kidumu madarakani zaidi ya miaka 15. Kuhusu gongo, haina tofauti na konyagi ila ndio vile tumetekwa na uzungu.
Pombe ni pombe, dhumuni lake ni moja, kukulewesha, nasikia kuna nyingine inaitwa pingu, na yeneyewe ni kama nini whiskey?
Kwani pombe si ndio serikali inapata kodi kubwa. Walevi waheshimiwe na kila mtu