NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,271
- 14,512
Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya
amefanikiwa kulipa Kisasi Kwa kumtwanga Bondia Karim Mandonga kutoka Tanzania katika pambano lao lilifanyika Usiku wa Kuamkia leo jijini Nairobi 
Maoni yangu huyu jamaa ipo siku atakuja kufia ulingoni huku mashabiki zake wakikenua meno kwa kucheka anachokifanya.
Kila siku unapambana kwa tunaojua huu mchezo wa ngumi siyo wa kuleta utani.