Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 175
- 609
Hamna kitu hichoTumerudi kwenye kipindi matajiri kuamua nani akae ndani
Mlibandikwa unyonge kufanywa daraja la kuvukia tu... Tanzania ni nchi tajiri..Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi.
Nimereview hotuba ya leo ya Mh.Rais Samia Suluhu,kitu nimenote ni kwamba uongozi wake unaencourage sana watu wenye kipato cha juu .Zile zama za unanijua mm nani naonae zinarudi.
Gape la wenye nacho na wasio nacho litakuwa kubwa.Rushwa itashika kasi hasa huko TRA.
Wasiwasi hawa watu (Wanyonge) kumkumbuka JPM muda si mrefu.Any way ni mapema sana kuyasema haya ,wacha tuone.
Boda boda ni wanyonge wa wapi?
Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.