Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Pia kuna usemi tumeukuta sisi wa kizazi hiki unasema "Mzigo mzito Mtwishe Mnyamwezi" huu msemo hauwezi kuwa umechangia kuwakandamiza?
 

Ukabila ni kitu kibaya sana,nime nena mara nyingi kuwa anaezungumzia makabila ujue ni mkabila huyo,kadhalika na udini

Sasa ukizungimzia wanyamwezi vipi kuhusu wazaramo? Daresalam na vitongoji nyake wanasiasa wote ni wakabila ya bara..vipi kuhusu hii hujaiona mkuu,Tanzania ni kwa watanzania haijali makabila
 
now l get it, mizigo ya kaka zangu si ya kitoto; pole na hongera with time utazoea. Nikuletee maembe mabichi?????
sio magrumet hayo .....magrumet ya moyoni....moyo upo into pieces !
 
teh teh teh! Saa nyingine JF kuna great thinkers...hahahahaaa 'ubuyu' watani wetu hawa bhana
 
kama Lema anavyoinajisi Arusha na maandamano yake, ayapeleke kwao moshi , hatumtaki arusha..
 
sio magrumet hayo .....magrumet ya moyoni....moyo upo into pieces !

pole mpenzi, is there anything l can do?
Naweza hata kusikiliza tu (PM) kama it may help
 
kwa faida ya wengine, mkuu ana maana "Kumshauri mfugaji atakwambia kafuge na wewe"

Hata hivyo njaa haitokani na uvivu wa wanyamwezi - ni ukame mfululizo, ardhi isiyo na rutuba ndiyo vitanzi vya mkoa huu wa kihistoria.
 
Kweli Isike anachafuliwa kwa kuwakilishwa na kina rage.
 
Kweli Isike anachafuliwa kwa kuwakilishwa na kina rage.
Mkuu umenena, hili jambo lazima lifanyiwe kazi haraka sana. Lazima Tabara ienzi ushujaa wa hawa wazee wetu waliopiga dhana nzima ya kutawaliwa / kuombaomba.
 
Huo ndio mwisho wakufikiri kwako?
Acha wivu, ulitaka Lema ajeaongoze Tabora?
Mwisho,ndugu achana na fitina za kikabila!
 
We ushaona wapi mkoa unategemea uwe kibaka na kuvundika maembe ili demu wako apake carolight kama sio Tabora? mnisamehe!
 
Bado mtampa na Juma Nkamia u chifu kwa njaa njaa zenu,vipi msimu wa maembe haujafika?
 
kama hiyo ya Rage na Lowassa ni laana nadhani tutalaaniwa zaidi nchi tukiwapa WACHAGA. HAWA NI LAANA NA BALAA KULIKO HAO ULIOWATAJA. MUNGU IBARIKI TZ TUEPESHE NA CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA)

he hii nayo mpya, kumbe ndo kirefu chake?
 
hahahahaha ww unawaza hayo tu mengine aaaaagh muone alivyo.....

Funguka mrembo, Dunia ni yako chaguo ni lako......Chagua Msukuma.....The only male species women hunt!!!
Shauri yako!!
 
kama hiyo ya Rage na Lowassa ni laana nadhani tutalaaniwa zaidi nchi tukiwapa WACHAGA. HAWA NI LAANA NA BALAA KULIKO HAO ULIOWATAJA. MUNGU IBARIKI TZ TUEPESHE NA CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA)
Mbona unamumunya maneno? Hao si wachaga,ni Wakikuyu 120% hivi huna elimu dunia wewe? Ndo maana uko unyamwezini. Mnisamehe
 

Kosa wanalofanya wananchi ni kuwachagua wawakikishi ambao mara tu baada ya kuchaguliwa hawarudi tena jimboni hadi uchaguzi mwingine. Asilimia kubwa wanaishi Dar. Kwa nini mnachagua mtu asiyejua shida zenu? Mtu ambaye akiensa jimboni anaishia kilala kwenye nyumb za kulala wageni? Amkeni sasa. Chagueni watu ambao wanazijua shida zenu na wala hawatakuwa wanawasimika wageni mchezo ambao kwa sasa unashika kasi.
 
Mbona unamumunya maneno? Hao si wachaga,ni Wakikuyu 120% hivi huna elimu dunia wewe? Ndo maana uko unyamwezini. Mnisamehe

Ina maana huku nchini katika makabila 120 na ushee yaliyopo wapo pia na Wakikuyu? Baadaye tutasema wako Wakalenjin. Hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na elimu sahihi au kuwa half-baked. Mtu wa namna hii ni lazima anatawaliwa na wivu wa kijinga badala ya ule ambao ni constructive. Jamani, tuwapeleke watoto wetu shule waelimike.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…