Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kuna wapuuzi wanaojifanya wao ndo watoto wa Mungu ndo chanzo cha yote haya, wamekuwa wanaachiwa wanajiona wao ndo kila kitu. Acha tutiane adabu kidogo ili heshima iwepo, hata Yesu aliwahi mwita Herode Mbweha baada ya kuzidisha USENGEnyaji kama huu wanaofanya hawa akina kidevu
Watu kama nyinyi ndio vishawishi wa kuvuuga amani katika nchi kwa kuona kwa jicho moja na sio kutumia macho yote mawili.Kama ulikuwa huna nasaha ya kupendeza na yenye amani zaidi bora ungenyamaza tu.Ni vizuri ujenge hoja yenye kulenga mada ambayo imeletwa kwa ajili ya amani na sio uchochezi.
Mimi sioni tatizo lipo wapi kwakweli silioni kabisa.Mimi naishi EU na kuna sehemu za machinjo za wakristo,waisilamu na hata za Juwish na bucha vile vile zipo za aina zote ni wewe mwenyewe wapi unapendelea kununua nyama iliyo chinjwa na yupi.Hii nchi ni kubwa sana maeneo yapo mengi tu ambayo yanaweza yakatengwa kwa ajili ya kuchinja nyama kwa dini tofauti.Kwahiyo serikali ndiyo inatakiwa ichukue hatua za haraka ili kuepusha machafuko haya.Miaka yote tumekaa kwa salama lakini wapo vidudu watu ndio wenye kujenga chuki.Na vidudu hawa wapo ktk dini zote mbili hizi na sio dini moja tu tusijifanye ndio wakweli kihivo lazima tuangalie kwa macho mawili hapa tusitumie jicho moja tafadhali.Mtu yeyote anaejifanya kwamba wanaoanza ni watu fulani hapo unakuwa ni unafik na sio ukweli.Na huu unafik huu ndio sumu kubwa inayoila nchi hii na bado watu hawaja-amka mpaka hapo watakapozinduka itakuwa "too little too late" :confused2::shut-mouth:
Mbona tuliandika sana kuwa haya yatatokea hivi karibuni? Wewe ulikuwa wapi na Serikali yako?
UKITAKA AMANI, JIANDAE NA VITA.
Sipo tayari na vita na hata nikichochea vita nitakuwa siwatendei haki watanzania wote kwa ujumla kwani sina ubaguzi wa rangi wala dini kwasababu sivo nilivofunzwa ktk dini wala wazazi wangu.Na siwezi nikachochea vita wakati mimi mwenyewe sipo ndani ya nchi hilo pia litakuwa ni kosa kubwa sana kwa kutowatendea haki watanzania wenzangu.Jambo kutokea linaweza kutokea hata kama uliandika wewe mwenyewe kwa mkono wako ama ulitamka kwa mdomo wako lakini vipi kuepusha tatizo na sio kuchochea.Hapa mimi ninachokiona ni nchi kugawanyika siku zinazo kuja.Kwa wale wapenda amani tumuombe mungu sana ili amani itumike.
upo upande wetu au wao? Baibo haitaki watu wanafiki na vuguvugu.
Kwa maana nyingine ulitaka wakristu waendelee kulishwa makafara?
mkuu nawewe usifikie huko bwana kwenye kutaka vita kumbuka kanuni za ukristombona tuliandika sana kuwa haya yatatokea hivi karibuni? Wewe ulikuwa wapi na serikali yako?
Ukitaka amani, jiandae na vita.
kaka jambazi hata wewe umeingia huko, ni mala ngapi tumekula nyama hizo leo ndo tujifanye hatutaki!
Tuishi kwa amani na kuvumiliana na waislam mkubali kuwa tunawavumilia kwa yoote haya!
kunachotakiwa ni serikali kuakikisha kunakuwa na mapucha ya waislam na mapucha ya wakristo,na machinchio ya waislam na machinchio ya wakristo,lakini kwa ugumu wa mioyo ya viongozi wa serlkali hii ya ccm watajifanya hawaoni mpaka watu wauwaneKuchinja!? Kuchinja mnyama ndio kusababishe nasi tupigane na tuuane? Kweli ndugu zangu watanzania? Siamini kabisa.Kwani kuna tofauti gani ya ladha ya mnyama aliyechinjwa na Mkristu au Muislamu? Kwani nguruwe wanaoliwa na baadhi ya wakristu huchinjwa na nani? Na wanyamapori je?
Ndugu zangu watanzania,umefika wakati wa kusisitiza uhuru wa kuabudu na mipaka yake. Imani yako,pamoja na unavyotakiwa kuvifanya kwa mujibu wa imani yako,usilazimishe kila mtu aifuate. Hata wakati wa Mtume Mohammad(S.A.W.) na hata Yesu Kristu,wapo waliowapinga na kutofautiana nao. Wao hawakulazimisha.Waliendelea kuwajenga waliowaamini na kuwafuata.Basi.
Kilichotokea Buselesele( au Buseresere) Geita hakivutii.Hakipendezi. Yaani watanzania tunaopendana kwa dhati na kuheshimiana tunapigana na kuuana kwa sababu ya kuchinja? Thamani ya wanyama tunaogombania kuwachinja haifanani na thamani yetu kama binaadamu.Thamani yetu ni kubwa mno kwa wanyama.Kubwa sana!
Tuzipende dini/imani zetu na tupendane pia...