Mfano kwa bahati mbaya huyo Tembo akaua mtu, mtu nae gharama yake ni ganiNDIO GHARAMA ZA BAADHI YA WANYAMA WETU
Simba sio mzembe kama hao waliotajwa ni rare sanaSimba yuko wapi?
Tembo hana bahati sawa na kugongwa treni ni sawa nani mwenye akili nani mwenye njia mbadala nadhani sometimes tusijitoe ufahamuMfano kwa bahati mbaya huyo Tembo akaua mtu, mtu nae gharama yake ni gani
Marehemu atapewa ofa ya kuliwa na wanyapori bure kabisa baada ya kuuawa na tembo 😎Mfano kwa bahati mbaya huyo Tembo akaua mtu, mtu nae gharama yake ni gani
Ukiwa mjini haya mambo unawezakufikiri ni hadithi. Unapafahamu Igava huku Mbarali? Tembo huja mtaani kwenye makazi ya watu.So hapa makazi ya watu yanakuwa yamejitoa ufahamu?Tembo hana bahati sawa na kugongwa treni ni sawa nani mwenye akili nani mwenye njia mbadala nadhani sometimes tusijitoe ufahamu
Ukigonga binadamu unalipa faini ya elfu 30 maisha yanaendelea.