Uchunguzi wa haraka haraka umeonyesha kabila la Wanyakyusa sio tu lina majina yenye mwanzo wa Mwa..., Mwa.. .
Imethibitika pia kuwa kwao kila jina linaloanzia na herufi 'A' linaishia na herufi 'E' na kila linaloanza na herufi 'L' linaishia na 'O'!
'A' kuishia 'E'
Asangalwisye
Andendekisye
Anyigulile
Ambwene
Afyusisye
Anyambilile
Andongolile
Asumwisye
.........nk malizia.
'L' kuishia 'O'
Lugano
Lutufyo
Lusekelo
Lusubilo
Lusajo
Lupakisyo
......na mengineyo.
Nao hawa kwa mbwembwe!
Tunaogopa tukitumia majina ya ukoo watasema wanyakyusa au kabila fulani limejazana wizara au shirika moja.Uko sahihi ndugu tunayasahau majina yetu,
Hongera kwa Jaji huyu NJENGAFIBILI MWAIKUGILE, pamoja na usomi wake hajaacha asili yake!
...anzisha thread yako na majina uyajuayo........
.....otherwise "Mzizi wa Mbuyu" (duh sijui ukoje)....hebu tupe kinyaki chake.........
Arooo check about exceptionist wazeee Wa-UK pia kuna tofauti sio
R.....A
Check pia haya
Rugaijam
Rweyemam
Rugaimukam
Rweyobama(Sorry nadhani hiri rimetokana na Obama pia unaweza kuongeza samahani kama nimekuudhi yaani Im sorry i mean samahan)
You may addd another au unaweza ongeza mengine Wakora waitu thank you saaaanah!
mbakasinge
Rweyemamu? R ----u
acha kuchafua mada za watu hapa nenda kaazishe mada yenu
wanyakyusa majina yao yanaendelea
kimakyambwele
nennunu
katage
kifulefule
kifwamba
simalike
ngoja nitafute mengine nitawawekea hapa