Wanyakyusa bwana!

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,208
13,233
IMG_20170220_143825_092.jpg
 
Hiyo ni barabara iendayo Usangi wilaya ya Mwanga na hapo ni kambi ya nyani. Nadhani Wapare wameamua kutia pozi baada ya lami kuwafikia. Asante prof wa maliasili.
 
Mbona huyo mwenye kipara namfahamu
ni mchanga? au alikuwa mshenga kwenye send off hiyo?
 
Hiyo ni barabara iendayo Usangi wilaya ya Mwanga na hapo ni kambi ya nyani. Nadhani Wapare wameamua kutia pozi baada ya lami kuwafikia. Asante prof wa maliasili.
Huu mwandiko nahisi ni wa Fulani......ila ngoja niendelee kufuatilia
 
Back
Top Bottom