PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
Pamoja sana mkuu sema nimesha zoea mashindano kama hayo huwa nawapiga sana watu mpunga huku uswahiliniMkuu Umenichekesha sana. Naona watu hawaamini kwa jinsi walivyokodoa macho. Ila mkuu angalia usije ukaua pancreas na hiyo misukari kwenye hizo Coca Cola. Insulin ikinock basi kisukari unacho mkuu...