ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
Aiseee me hata nlikua na,shda naHeka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.
Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
Aiseee me hata nlikua na,shda na
Mchele lakin kwa hzo hesabu zake
Za hekar 6 gunia 70
Haziingian kabsa
Huyu kuna ambao hata waacha salama
Teh teh teh JF ni zaidi ya chuo kikuuAiseee me hata nlikua na,shda na
Mchele lakin kwa hzo hesabu zake
Za hekar 6 gunia 70
Haziingian kabsa
Huyu kuna ambao hata waacha salama
sijakata ila hayo ni maoni yenu na hesabu zenu ila sisi huku kwa kawaida heka ya mpunga mdogo inaweza kutoa gunia 18 mpaka 20 na mpunga mkubwa hutoa gunia 15 mpaka 18 inategemea na jinsi ulivyobeba maana kuna mengine huwa mapumba tu yasiyo na mchele ndani na kikubwa ni utapeli gani huo mnaozungumzia nyinyi wakati we unauona mzigo, unauchunguza ukishalizika nao ndio tunafanya biashara,Heka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.
Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
Aiseee me hata nlikua na,shda na
Mchele lakin kwa hzo hesabu zake
Za hekar 6 gunia 70
Haziingian kabsa
Huyu kuna ambao hata waacha salama
mi sijajua wao wanapiga hesabu hozo kwa kilimo cha wapi ila kwa sisi huku huwa tunapata gunia hizo yani ukikosa zaidi basi ni gunia 70 ila kwa kawaida zinaweza kua 80, 90, 100 au hata kuzidi hapoYupo sahihi wakuu kwakilimo chetu cha jembe lakusukuma kwamkomo nabila pembejeo nikimaanisha mbolea na dawa kwa heka moja niwastani wa gunia kumi mpaka kumi na mbili
kwa huku tuliani kwa sasa mpunga mdogo au wenyeji wa huku wanauita saro (sijui jina la kitaalam unaitwaje) unauzwa tsh 65,000 na mpunga mkubwa (super) huuzwa tsh 75,000 mpaka tsh 80,000Mkuu gunia la mpunga ni bei gani?
mi nawashauri waje wafanye research huku kwanza kabla ya kukosoaHahahahaha....!!! ...Kawachokoza wenye fani yao.
Mkuu samahani ukikoboa mpunga Mkubwa gunia moja unapata kilo ngapi na na mpunga mdogo kilo ngapi.Wewe ni mwenyeji huko?kwa huku tuliani kwa sasa mpunga mdogo au wenyeji wa huku wanauita saro (sijui jina la kitaalam unaitwaje) unauzwa tsh 65,000 na mpunga mkubwa (super) huuzwa tsh 75,000 mpaka tsh 80,000
Yupo sahihi wakuu kwakilimo chetu cha jembe lakusukuma kwamkomo nabila pembejeo nikimaanisha mbolea na dawa kwa heka moja niwastani wa gunia kumi mpaka kumi na mbili
kwa kawaida ukikoboa mpunga gunia 1 unaweza kupata kilo 55 mpaka 65 na mda mwengine unaweza kupata hata zaid ya hapo inategemea na jinsi lilivyojazwa hilo gunia na upepetaji wa pumba kabla mpunga hujajazwa katika guniaMkuu samahani ukikoboa mpunga Mkubwa gunia moja unapata kilo ngapi na na mpunga mdogo kilo ngapi.Wewe ni mwenyeji huko?
Anamaanisha ekari na sio hektaHeka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.
Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
sijakata ila hayo ni maoni yenu na hesabu zenu ila sisi huku kwa kawaida heka ya mpunga mdogo inaweza kutoa gunia 18 mpaka 20 na mpunga mkubwa hutoa gunia 15 mpaka 18 inategemea na jinsi ulivyobeba maana kuna mengine huwa mapumba tu yasiyo na mchele ndani na kikubwa ni utapeli gani huo mnaozungumzia nyinyi wakati we unauona mzigo, unauchunguza ukishalizika nao ndio tunafanya biashara,
kuna watu mnajua kumzidi hata Mungu, kipindi kulikuwa na mafuriko sana yaliyopelekea kupotea mpunga mwingi katika mashamba, so si ajabu kuona hesabu zake zinakwenda hivyo.Heka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.
Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
labda wewe unaweza ukatupa maelezo yako na wewe huwa unavuna gunia ngapi kwa huko ulikokuna watu mnajua kumzidi hata Mungu, kipindi kulikuwa na mafuriko sana yaliyopelekea kupotea mpunga mwingi katika mashamba, so si ajabu kuona hesabu zake zinakwenda hivyo.
mimi binafsi namuunga mkono kwa hesabu zake..kwani nimelima kwa miaka mingi na bado ninalima mpunga mpaka sasa.
mpunga una changamoto zake nyingi mno tena hasa kwa sisi tunaelima kienyeji enyeji, unaweza ukazaa mwingi tu ila ukawa mapepe/mapumba meng, pia kunA changamoto ya ndege waharibifu hao nao ni zaidi ya tatizo maana gharama ya watu wa kukulindia ndege ni kubwa hivyo tunashindana nao wenyewe ndiomaana nimetoa hesabu/makisio ya chiniHata hesabu zako zimedifa.. 15 kwa heka 6 sawa na 90. 18 kwa heka 6 sawa na 108 gunia.
Bado hesabu hujaweka sawa, nimetokea kwenye kilimo cha mpunga mkuu.