Wanume tuwe makini na Wanawake waotumia snapchart

Wanume tuwe makini na Wanawake waotumia snapchart

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Hii snapchat ina filter Flan ivi amazing,basi watoto wa kike wa zama izi hutumia those filter kutuvutia[emoji39].
But ukweli unabaki pale pale hawa wanawake wanaotumia picha za snapchat ni kuwaogopa sana sana kwani ukikikutana nae heeeeeeheeee unaweza jikuta wewe ndo Mrembo kuliko hata uyo Mrembo(miss snapchat).

My friend this is according to my experience sio story za kalimakonga wala Halfu holela holela zile story za mzee Abunuasi.
Kidume unajikoki na silaha za kutosha from the bottom to the top(pamba kali) unajua unaenda kukutana na the most beautiful woman in the world,doh! Kumbe ni average woman....snapchat hiiiii[emoji51][emoji51][emoji27]

HITIMISHO:wanawake muwe serious kidogo hata siku moja moja jmn mnatupotezea nauli na muda pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom