Huo ujumbe ni maalumu kwa nyie Ambao hamna connection na network na hamtoki silver spoon family.Mbona yeye hajajiajiri wakati hata mtaji akitaka ni kuchota tu kutoka hazina
Serikali ni.mali ya mtandao ndiyo maana yake na yeye ni mmoja wa wanamtandaoNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Ndio ubaya wa kufikiri kwa kutumia Makalio..Mbona yeye hajajiajiri wakati hata mtaji akitaka ni kuchota tu kutoka hazina
Kashaanza kufukia makaburi kizimkazi?Popote mtakapokuwa hakikisheni mnajiendeleza katika taaluma zenu ili kwenda sambamba na mabadiliko mbalimbali ya teknolojia yanayotokea duniani
Keep scoring Wanu
Yeye mbona hajajiajiri, stupid.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Kizimkazi ni swalama kabisa sisi wa bara ndo tuna tabuKashaanza kufukia makaburi kizimkazi?
A bitch begets a bitch!Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
"Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi, ili vijana wajiajiri" Anaongea tu ili mradi liende, hotuba yenyewe, yakuandikiwa, haya, maneno niliyasikia 2009 wakati natoka DIT,hayana maana yoyote,ni upuuzi mtupuNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.