Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,629
- 22,415
Je hii device kwa Dar es salaam nitapata duka gani.
Na je ni tsh ngapi?. Msaada Tafadhali nahitaji kwa haraka.
Mrejesho: (24 May 2013 )
Nimefanikiwa kuipata hii device Amazon kindle Paperwhite week hii.
Shukrani kwa wana Jf kwa ushirikiano wenu.
Hasa ndugu yetu, Mwana Jf mwenzetu Young Master kwa kufanikisha kupata hii device,Aksante sana.