Mkuu jamaa baada ya kupigwa chini Chadema ameamua kunyoa rasta kuepusha zomea-zomea za raiya wa arusha . Na hapa yupo na mama mpya wa kizungu Pamela:View attachment 38946
Nyie ndiyo mnaoleta chuki hapa jukwaani badala ya kuleta hoja hivi akitokea mchangiaji akasema viongozi wa CCM wote ni waizi na wafujaji wa mali za umma utasemaje?Viongozi wa CHADEMA woote wana asili ya ujambazi! Lema anajua hilo!
Nadhani anamaanisha dola za kimarekani ambazo thamani yake ni Tshs 16,400. Kwahiyo zitakuwa kama USD 10 more or less.
Nyie ndiyo mnaoleta chuki hapa jukwaani badala ya kuleta hoja hivi akitokea mchangiaji akasema viongozi wa CCM wote ni waizi na wafujaji wa mali za umma utasemaje?
ikumbukwe huyo dada alieachwa ni dada yake lema..
ikumbukwe huyo dada alieachwa ni dada yake lema..
View attachment 38945
Kati ya wale madiwani kadhaa wa Arusha waliovuliwa udiwani kuna Rasta mmoja aliyejipatia umaarufu kwa jina la Charles David Mpanda. Jamani diwani rasta wa Arusha kata ya Kaloleni kwa tiketi ya chadema ila kwa sasa amevuliwa uanachama na udiwani CDM na anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa wizi wa fedha tathlim USD 16,400/= alioufanya kwa dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wake kabla na baada ya kuukwaa na kutoswa kwenye udiwani kata ya Kaloleni kupitia Chadema Arusha mjini.
Diwani Rasta aliyekua akiwakilisha kwa tiketi ya CDM kaloleni Arusha alikua ni mmiliki wa kampuni ya utalii jijini arusha kwa jina la AFRICAN ZOOM , Na dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wa Rasta naye alikua akimiliki kampuni yake ya utalii kwa jina la TANGANYIKA ACCENT ROOT.
Baada ya kuanza uhusiano wa kiuchumba baina ya diwani Rasta na dada Magreth waliamua kuunganisha kampuni zao zote na kuifanya kampuni kuwa moja na kuitwa AFRICAN ZOOM & TANGANYIKA ACCENT ROOT na Diwani Rasta ndiyo aliyekua mteule wa kusign Cheque zote na kutoa pamoja na kupokea fedha zote ktk matumizi ya kampuni hii kupitia bank .
Baada ya diwani rasta kupigwa chini katika kiti cha udiwani wa Chadema kata ya Kaloleni Arusha hivi majuzi amemuibia mchumba wake USD 16,400 kwenye kampuni yao na amekimbilia Marikani leo hii. Dada Magreth amegundua kuwa diwani rasta ambaye alikua ni mpenzi wake kamuibia na ametorekea marekani na kimada wa kizungu baada ya kusikia kua jamaa alikua anaranda mitaani kumtafuta mtu wa kumkabithi gari ili asepe tena gari ambalo alipewa kwa ajili ya kutembelea na Dada Magreth kipindi cha kazi yao ya pamoja ya utalii. Nawakilisha .
N.B kama kuna muandishi wa habari mwenye shida ya kuwasiliana na Mchumba wa Diwani Rasta wa kaloleni Arusha na kumuhoji zaidi juu ya hili na kujua undani wa tukio hili la uwizi wa USD 16,400/= ani- PM.
Mpaka naondoka mitamboni mtaa wa SOWETO mkoani Arusha, dada Magreth aliyeibiwa pesa za kampuni na diwani rasta kwa sasa yupo safarini kuelekea Marekani kumkamata Rasta uyu aliyekimbilia huko baada ya kupata dada wa kizungu kwa jina la Pamela mkazi wa America .
Daudi Masaburi, acha kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzeko wewe mtoto wa kiume
ngoja akifika huko marekani atoswe na huyo mama wa kizungu ndo atakoma, wazungu hawataki watu wanafiki.
I can smell Ngongo's coming from very far. Hahaha ahahahah ahahaha!!!!
dola za kimarekani Sh. 16,400??
KUna dola sh. kweli?
Ahaaa Nyambala ulijuaje kwa vyovyote utakuwa umerithi mikoba ya Sheikh Yahaya, taarifa za uhakika Magreth ni Dada yake Godbless Lema Rasta kamkimbia kachota kimwana wa Kithungu kaamua kuachana na siasa zenu za maji taka bado mnamfuatilia.
Uhusiana wa Rasta na Magreth ulianza kuaribika baada ya Lema kumkashfua adharani kwamba anafungwa na dada yake [Magreth] Rasta kama mwanaume alimtaka akanushe habari za kizushi ili urafiki wao uendelee lakini wapi.
Penye ukweli tuseme kweli Magreth ni mkubwa sana kiumri kamzidi Rasta zaidi ya miaka kumi na tano/ Ishirini.Hivi ni kwanini asitafute mzee wa umri wake mwacheni Rasta ajirushe na vijana wenzake.
View attachment 38945
Kati ya wale madiwani kadhaa wa Arusha waliovuliwa udiwani kuna Rasta mmoja aliyejipatia umaarufu kwa jina la Charles David Mpanda. Jamani diwani rasta wa Arusha kata ya Kaloleni kwa tiketi ya chadema ila kwa sasa amevuliwa uanachama na udiwani CDM na anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa wizi wa fedha tathlim USD 16,4iu00/= alioufanya kwa dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wake kabla na baada ya kuukwaa na kutoswa kwenye udiwani kata ya Kaloleni kupitia Chadema Arusha mjini.
Diwani Rasta aliyekua akiwakilisha kwa tiketi ya CDM kaloleni Arusha alikua ni mmiliki wa kampuni ya utalii jijini arusha kwa jina la AFRICAN ZOOM , Na dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wa Rasta naye alikua akimiliki kampuni yake ya utalii kwa jina la TANGANYIKA ACCENT ROOT.
Baada ya kuanza uhusiano wa kiuchumba baina ya diwani Rasta na dada Magreth waliamua kuunganisha kampuni zao zote na kuifanya kampuni kuwa moja na kuitwa AFRICAN ZOOM & TANGANYIKA ACCENT ROOT na Diwani Rasta ndiyo aliyekua mteule wa kusign Cheque zote na kutoa pamoja na kupokea fedha zote ktk matumizi ya kampuni hii kupitia bank .
Baada ya diwani rasta kupigwa chini katika kiti cha udiwani wa Chadema kata ya Kaloleni Arusha hivi majuzi amemuibia mchumba wake USD 16,400 kwenye kampuni yao na amekimbilia Marikani leo hii. Dada Magreth amegundua kuwa diwani rasta ambaye alikua ni mpenzi wake kamuibia na ametorekea marekani na kimada wa kizungu baada ya kusikia kua jamaa alikua anaranda mitaani kumtafuta mtu wa kumkabithi gari ili asepe tena gari ambalo alipewa kwa ajili ya kutembelea na Dada Magreth kipindi cha kazi yao ya pamoja ya utalii. Nawakilisha .
N.B kama kuna muandishi wa habari mwenye shida ya kuwasiliana na Mchumba wa Diwani Rasta wa kaloleni Arusha na kumuhoji zaidi juu ya hili na kujua undani wa tukio hili la uwizi wa USD 16,400/= ani- PM.
Mpaka naondoka mitamboni mtaa wa SOWETO mkoani Arusha, dada Magreth aliyeibiwa pesa za kampuni na diwani rasta kwa sasa yupo safarini kuelekea Marekani kumkamata Rasta uyu aliyekimbilia huko baada ya kupata dada wa kizung
u kwa jina la Pamela mkazi wa America .