Kuna hili wimbi la wasanii kwenda South Africa kufanya shooting za nyimbo zao,Binafsi sijaona ubora wowote wa video ya Ommy dimpoz na Wanjera yake, nilidhani kufunga safari all the way to South africa tungepata something new, ila sijaona...kwa jinsi ilivyo, nafuu tu hiyo video ingefanyiwa shooting hapa Bongo, angeserve gharama za kusafri hadi huko south Africa.Halafu hata maudhui yake sijaelewa, aliyeelewa anisaidie, may be am a slow observer.
Kwa kuwa ipo katika mikono ya wenye huu muziki huu wimbo utapigwa mpaka ngoma za masikio zitoboke mwisho wa siku utaupenda tu.
Uko sahihi, hlo la kwenda kwa uhuru sijui na godfathr ni geresha tu.
Hawa vijana wanatumiwa na ma lord ya sembe wanapeleka matani kwa matani, then wanazawadiwa video na production.
Na mchezo mzima unaanzia paaleee ....mitaa ya mbezi.
Upuuzi mtupu pale....
Haina jipya ... Bora Mara mia video ya salima
Linex ft diamond
mzee wa kukuchetua anaweza kama hutaki meza wembeKama promo la yule wa kucheketua
Dah kweli tunatofautiana
mbona me naona iko vizuri tu... na inaburudisha, kwa kweli me naona quality iko poa na idea ya machizi nayo iko fresh tuu
Me nafikiri kinachowapeleka sauzi ni kutafuta kutoboa kimataifa maana video ikitoka ikishaonekana imefanywa na producer fulani tu lazima ichezwe na vituo vya TV vya kimataifa