Mwaka huu tutashuhudia wafu wengi wakifufuka!
ngabu bana! sasa greti thinka hapa ndio umesaidia nini? mdada analia, ww unamfananisha na thriller ya wacko jacko .
na wewe greti think hapa ndio umesaidia nini?
naongeza idadi ya post, si unaonaga ndio kwanza natambaa na buku tu, mazee una buku 20 halaf ni candidate wa JF presidential election. Mpe mistari mdada kabla hajavaa kenge mwengine
Kwa hiyo mi KENGE???????/////
Unafanyia wapi phd yako
sirgeorge + mafanikio= jibu sahihiPole sana dada yangu kwa yaliyokusibu. Mi nikushauri kwa sasa usikurupuke kuingia katika mahusiano mapya ni vyema utibu kwanza madonda yalikutokea. Mara nyingi sisi wanaume hasa wabongo wanaangalia status yako na hivi umesema unafanya Phd. basi kila mtu atatokea kwa lengo la kutaka kukuoa japo ni kweli sio wote wenye nia hiyo (i mean ya kuangalia unafanya nn, kazi gani n.k).
Kuna hii kitu ya kutokuwa waaminifu inatokea hasa kama mpo mbalimbali (distance relationship) ambayo hata mimi nalia nayo, hata mimi napoandika yalitonikea kwa girlfriend wangu ambaye yupo Tz. So nilichoamua kwa sasa ni kutulia kwanza nimalize kilicholeta kutafuta shule Europe. Cha msingi ni kuomba mungu akupatie mume bora. Na hilo la kiimani angalia pia usije ingia katika migogoro wa kifamilia lakini hili pia inategemea na msimamo wa mtu kwani linazungumzika.
Kila la kheri
vipi wewe umeshampata?Nahisi kama si muhimu sana kujua hilo. Dada anaomba asaidiwe ushauri kaka yangu......
Mimi dada yangu mpendwa nakushauri umalize kwanza hiyo PhD yako, then mambo ya mapenzi yafuate. Najua sababu zilizosababu mahusiana ya mwanzo inawezekana ni muda wa kukaa na huyo unayetegemea awe wako wa milele ni mchache kutokana na majukumu yako ya shule. Nakuomba sasa usichanganye mambo ya shule na mapenzi kwa sasa....maana najua PhD student walivyokuwa so busy. Kulinga na status yako najua wanaume wengi wanakasumba ya kuwaogopa sana wanawake wenye elimu kama yako... Kwa sababu hiyo usijionyeshe sana kama unajua kila kitu ukiwa na mtu ambae unategemea kuwa atakuwa mwandani wako. Wanaume huwa hawapenda wanawake ambao ni much-know....
Pia kuolewa dada inachangiwa na mambo mengi sana, ambayo ni pamoja na kusali kwa nia. Kama ni mkristu dada yangu, najua utakuwa unafahamu kuwa kuna sala maalumu kwa ajili kuomba kupata mme/mke mwema. Usidharau, jaribu pia kusali na unaweza kuona maajabu ya Mungu...
Huo ndio ushauri wangu dada yangu mpenzi.....maana najua unavyoteseka na napenda sana upate mwandani wako. MIMI NAKUOMBEA KWA HILO....
sirgeorge + mafanikio= jibu sahihi
Bwana pilipili manga, nilichoandika ni hali halisi yaliyotokea. Na kwa taarifa yako sihitaji relationship kwa sasa kama ulisoma vizuri nilichoandika.Hii stress ya shule tosha sana.
Hope umenipata