Wangoni na wamatengo waogopeni


wachaga watani, lkn ni mavi maaavi.
 
Wangoni vandu vabwina sana. Wenga tu uvi na matatizo gako,
 
Usilogwe kuwekeza upendo wako kwa mngoni, ukifanya hivyo kujuta ni lazima.
 
Tatizo la wangoni Wanamalingo sana..
Nimewah kukumbana na kadhia za kuambiwa hivyo na mabint kwa mara kadhaa ila nadhan ni mitazamo yao,kama wangoni wana maringo WAHAYA wananini?Mil10 ya Mboga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…