Kwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.
tupe uzoefu maaaana patamu hapo..............
namanyi lepa ngati wa mlongo wangu.....kwa bina,jovaa!
Mbolimboli ni kyani..??mboli mboli dadi,
magono aga kuyii hee kuchicha, tikamu tu kiwoko, nyanyu palivega kuhyetu tiiii....Sa ivi nikitongozwa nauliza kabila kwanza.....
Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Ni kweli , sasa naomba wazee hawa Mbawala, Tembo, Ngonyani, Timbwili, Nyoka, Mamba, Simba, Nguruwe, Faru, Mapunda na yule mzee kijiji cha pili, Kiboko.....Halafu wangoni ni watani wa makabila mengi mengi tu ya Kusini na Nyanda za juu Kusini
Wangoni kwa mdudu a.k.a ktimoto ni balaa. Kila bar ya komon au myakaya lazima pembeni kuwe na bucha la mdudu.na mishkaki ni mia 2 tu(hapo kilabuni kuna wimbo unapgwa"niwuka lepa hadi nimale ugimbi_siondoki hadi pombe iishe) hyo inaenda hadi sa9 usiku[/QUOTE
..haiwezekani, haiwezekani, maji kupanda mlima
Kina dada wa kingoni usipime!Hahahahaaaa nimekaa Songea miaka 3 hawa jamaaa hawana noma na mtu yaani ni full amani. Ila du pale kati wanapakubali usipime na dada zao hata sio wachoyo kiivyo. Kwa ufupi ni wakarimu wakutosha.
wala hakuna tofauti wote niwa moja wewe tu na roho yko
umesahu pia tuna sifika kwa utamu