Wangekuwa mabubu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wangekuwa mabubu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, May 9, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ushawahi kujiuliza bila hoja ya mafisadi chadema leo ingekuwa wapi? Maana wao kila wakipanda majukwaani ni kuropoka tu mafisadi,mafisadi,mafisadi!! Kila siku ni list mpya lakini nashangaa mwenyekiti wao hawamweki kwenye list!! Siku watanzania wakiichoka hii filamu ya kibongo ya mafisadi ndio utakuwa mwisho wao hawa jamaa,kwani hawana ujanja wowote zaidi ya kutumia migongo ya akina lowasa kutokea!! Kama vipi chadema waigeni wapinzani wa uganda wanavyofanya,siyo kwamba uganda hakuna list ya mafisadi bali jamaa wanakomaa na matatizo yanawagusa jamii! Bila mafisadi chadema wangekuwa mabubu!!!!CHEAP POPULARITY! Hongereni mafisadi kwa kumtoa slaa,ful nitoke vipi
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  mtaanzisha lini Mapinduzi Forum yenu? maendeleo ya nchi hii yanakwamishwa na hao wachache unaotaka wasizungumzwe (wewe unanufaika pamoja nao) na ili nchi ipige hatua ni lazima wangoke wao na chama chao.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hujambo?
   
 4. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SIJUI NISEME NI KIWAVI AU CRAP? :majani7:
   
Loading...