Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Enzi zetu (1947), mambo kama hayo tuliyaita BANGI AU Gongo la Mwanza (linalotokana na kutapisha vyoo)!
Kama wanafikiria hayo mambo kwa nini wasifungue biashara hapo home au wakapanga nyumba kabisa ili watengeneze mafweza?
Naona wanataka kuoga tope kwa kutumia maji taka!
Hahahaha.... wewe bana wewe. Hawamaanishi hivyo. Yaani utamfumaniaje mtu mliye naye kwenye open releshenship? Ukimkuta (siyu kumfumania) unamwambie 'HEBU MALIZIENI HARAKA, NA MIMI NNA HAMU'
Mkuu naenda chekea nje kidogo...brb!
Babu mwenzangu naona mwaka huu umeuanza vibaya lol....naona kama unapiga jaramba la twaarab. Manake hayo maneno mi hoi!~
yaani Babu DC sijui tunaelekea wapi dunia hii sasa...
mambo ambayo yalikuwa magumu hata kusema majini..
sasa yanatendeka wazi wazi .....
Mhh,
Kama mwaka wenu uko hivi basi mimi nitaomba voluntary ban hadi Dec 31 2011!
Heri ya Mwaka Mpya Maj Gen. DC:
Kulikuwa na baa(grocery) moja Sinza inamilikiwa na familia - Waitress alikuwa ni mwanamke na Kaunta mwanaume - Mwanamke alikuwa anajiachia kwa wanywaji ili wamtongoze na yeye bila hiana wakimuomba anakubali.
Sharti lilikuwa moja kuwa wanafanya "short time" na ni eneo la karibu na hiyo grocery (palikuwa na uchochoro) - Mkishakubaliana mwanamke anatangulia halafu wewe unafuata - Sharti la pili ilikuwa ni kwamba lazima uvue nguo zote na zinatundikwa kwenye tawi la mti wa karibu - Ile mnaaza "romance" mwanaume anatokea na kukwapua zile nguo zako halafu anaanzisha zogo na kitendo bila kuchelewa mwanamke anakimbia - sasa inabaki kati yako na mwenye mke - Normally alikuwa "anapiga sachi" nguo zako na kuchukua chochote kilichokuwa kwenye "wallet" then anakurushia nguo na kukuamuru utoweke!
Waliwapata wengi kwa njia - that was Open-Closed Relationship
Hahaha...angalia mods wa siku hizi hawachelewi kukupiga ban kiukweli. hawa wajukuu peke yangu watanishinda.
Heri ya Mwaka Mpya Maj Gen. DC:
Kulikuwa na baa(grocery) moja Sinza inamilikiwa na familia - Waitress alikuwa ni mwanamke na Kaunta mwanaume - Mwanamke alikuwa anajiachia kwa wanywaji ili wamtongoze na yeye bila hiana wakimuomba anakubali.
Sharti lilikuwa moja kuwa wanafanya "short time" na ni eneo la karibu na hiyo grocery (palikuwa na uchochoro) - Mkishakubaliana mwanamke anatangulia halafu wewe unafuata - Sharti la pili ilikuwa ni kwamba lazima uvue nguo zote na zinatundikwa kwenye tawi la mti wa karibu - Ile mnaaza "romance" mwanaume anatokea na kukwapua zile nguo zako halafu anaanzisha zogo na kitendo bila kuchelewa mwanamke anakimbia - sasa inabaki kati yako na mwenye mke - Normally alikuwa "anapiga sachi" nguo zako na kuchukua chochote kilichokuwa kwenye "wallet" then anakurushia nguo na kukuamuru utoweke!
Waliwapata wengi kwa njia - that was Open-Closed Relationship
Afadhali wewe unajua hata kuwakagua. Hivi mwaka huu utaendelea na hilo zoezi au umelikamilisha mwaka jana. Au utaanza kwenda kwa mgao kama TANESCO?
Kamwe siwezi kumruhusu mke wangu akamegwe
Nimekoma kuwakagua bana. Kila nayemkagua nakuta tayari alishakaguliwa. Unakuwa haueleweki kama mkataba wa Dowans.
Kama unatakafuta wa namna hiyo kwanini unawatafuta mahali ambapo hata wewe mwenyewe unajua hawapo? Ni sawa na kutafuta mbuzi mzima buchani??? Inawezekana kweli babu???
wewe ushindwe na ulegeeina maanisha wote wanaishi nyumba moja lakini wanaruhusiana kutoka nje ya ndoa yao kimapenzi....
Heri ya Mwaka Mpya Maj Gen. DC:
Kulikuwa na baa(grocery) moja Sinza inamilikiwa na familia - Waitress alikuwa ni mwanamke na Kaunta mwanaume - Mwanamke alikuwa anajiachia kwa wanywaji ili wamtongoze na yeye bila hiana wakimuomba anakubali.
Sharti lilikuwa moja kuwa wanafanya "short time" na ni eneo la karibu na hiyo grocery (palikuwa na uchochoro) - Mkishakubaliana mwanamke anatangulia halafu wewe unafuata - Sharti la pili ilikuwa ni kwamba lazima uvue nguo zote na zinatundikwa kwenye tawi la mti wa karibu - Ile mnaaza "romance" mwanaume anatokea na kukwapua zile nguo zako halafu anaanzisha zogo na kitendo bila kuchelewa mwanamke anakimbia - sasa inabaki kati yako na mwenye mke - Normally alikuwa "anapiga sachi" nguo zako na kuchukua chochote kilichokuwa kwenye "wallet" then anakurushia nguo na kukuamuru utoweke!
Waliwapata wengi kwa njia - that was Open-Closed Relationship
Mkuu inaonyesha hata huyo mama nayeye alikua ana cheat kwa mumewe kama kawa, na alipo mbaini mumewe akatumia lupo hiyo kuhalalisha ufisadi wao..
Kikubwa tunacho jifunza hapo ni kuwa hawa walioana tu kwasababu watu huwa wanaoana, hawakuoana kwasababu wanapendana