Wangapi Wamemmiss ?

Wangapi Wamemmiss ?

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
1473416587636.jpg
 
tayari nshamsahau hebu nikumbusheni..!
 
Wengi na hasa wale waliokuwa wakimdhihaki hadharani kuwa ni 'Rais dhaifu'...
Wabongo kwakweli tuna shida,kaja ngangari watu wanalia,unashangaa mnalia nini wakati mlitaka rais imara ???
 
Kati ya wananchi na familia yake ipi ime neemeka sana? Mtaani kwetu kaaondolewa mwizi sasa katokea chizi sijui kuna nini huku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom