Wangapi tunasubiri mishahara ya mwisho wa mwezi?

Wangapi tunasubiri mishahara ya mwisho wa mwezi?

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
515
Reaction score
914
Leo tarehe 28 zimesalia siku 3 hivi kumaliza mwezi wa 3. Sasa kuna wale tayari wameshapokea mishahara yao tangu 22 ambao wengi wao ni watumishi wa Umma.

Lakini private wengine tarehe 25 hadi leo wanapokea, halafu kuna wakina sisi hadi MUNGU AKIPENDA yani boss ajisikie kuingiza!

Ila ajira ni utumwa sana, acha tuvumilie tu
 
-Niliamua kuacha kazi as Land surveyor, wa manispaa niliacha kazi mshahara ulikuwa 1,700,000/
- nilishaona kwa mshahara huo sitoboi
 
Back
Top Bottom