Wangapi tumemisi post za Kidukulilo na kwanini haonekani sikuhizi

Kiduku Lilo yupo kwenye kutatua mambo makubwa na changamoto zinazoikabili dunia, anaumiza kichwa na mambo kama Covid, anasaidiaje Uchaguzi wetu, si mmesikia hatujakopa wala kupata ufadhili? Hayo mambo ndio Kiduku anasababisha yawezekane.

Pia Lockdown ilimkumba akiwa Canada hivyo anasubiri anga lifunguliwe aanze mizunguko na shughuli zake za kila siku.

Mara ya mwisho alikua kwenye mazungumzo ya kuinunua JF, sijui iliishia wapi.


Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Imebidi leo tafute post za kidukulilo, huyu jamaa anaweza akakufanya utamani kuishi maisha ambayo hukuyatarajia.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom