Hahaha ilikua inafuta peni kwa kutoboa karatasiYalikuwa hayafuti vizuri matokeo yake unatoboa karatasi ukienda nyumbani Mama amekuguard mlangoni na bakola kabla hujaingia ndani unakabidhi mfuko wa daftari kwake ole wako uwe umetoboa karatasi utaisoma namba kwa kigiriki
tehtehtehtehKipindi hicho term inapoanza mnagawiwa madaftari, kalamu na math set. Siku hizi za elimu bure nasikia wanagawa hadi soda na vitabu.
Tatizo ulikuwa unafuta kule ulikokuwa unaandika kwa wino..ha ha ha ha ha ha kabla sija scroll down nilikuwa na mawazo ya kuandika huo ufutio unachana karatasi....nakumbuka nilikula mboko kwa kutoboa daftari!!