Wangapi mnaikumbuka hii

Wangapi mnaikumbuka hii

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
FB_IMG_1526116382107.jpg
FB_IMG_1526116382107.jpg
 
nimekitumia sana kwa gozo mkuu
Maisha yanaenda kwa kasi,hiyo ilikuwa inaongezewa mafuta taa,halafu kuna kali kajiwe kadogo inawekwa nayo inaisha nguvu.

Sasa hivi tupo ya gesi
 
Kwa nimeona waliovitumia
Tungevitunza na kuviweka katika hali nzuri huwa vina thamani sana kwa kuuza.

Kuna moja hiyo ni aina ya Dunhill hiyo ukiipata thamani yake sio mchezo vilitengenezwa miaka ya 50
 
Nimekitumia sana kuuzia sigara dukani kwangu. Kweli tecnologia inabadilika.
 
Lina Jiwe liikiisha unaweka nyingine....kutengeneza msuguano

Ova
 
Back
Top Bottom