Hii haihitaji moyo, inahitaji mapenzi kutoka pande zote mbili. Mwanaume yeyote anaejitambua, mwenye akili, mwenye mapenzi na alie na mtazamo chanya wa maisha anapendeka tu.
Mapenzi hayo yapo? Ni rahisi kwa maneno ila sio wengi wanaweza kufanya kwa vitendo.
mie nilifikiri bongo eh kumbe hukoHiyo ni kweli mkuu, sio uigizaji harusi hiyo imefanyika Eritrea.
Na akifanyiwa hayo tu,asilimia kubwa huwa yanaweza kutokea kama ya Pistorious wa South Africa.Huyo mwanaume atachapiwa vibaya sana
ndio inawezekana,hapana chezea kupenda,kuna kilichomkosha ndio maana kakubali kuolewa nae