Amesema alikuwa tenth grade...kumbuka hilo, meaning form two. Probably he was 16 or 17, of which atakuwa wa 1970 au 1971.
Ni kijana tu huyo.
Yes, I was a 10th grader in 1987.
However, at IST, that's form three not two like in TZ system, since we have 8th grade as equivalent of form one.
Air density mchana ipo juu compared to night...altitude ile ni juu mno, blood circulation inapofika ubongoni possibility ya kutengeneza bubbles ni mkubwa na hizo bubbles hupasukia ndani ya mishipa ya ubongo...hence creating temporary madness!
There's a certain law in chemistry nimemsahau huyo chemist ni mfaransa ndiyo alizungumzia hiyo relationship between altitude na circulation of blood kwa wanaokwea milima mirefu au wale wanao dive baharini chini...ni zamani sana nimesahau kemia yangu ya mwalimu wangu.
Pressure law
But I still stand at 1970/1971 as your birth years. Mkuu kumbe umepita IST...hongera. Me nimepiga government schools tupu, kasoro nursery ndiyo ilikuwa ya wakatoliki.
Record nyingine hazitaleta maana kama utajihatarisha maisha yako.
Badiri kileleni ni -10 celcius. Una kifua cha aina gani cha kuzuia hiyo baridi?
Glaciation, avalanches... Pia barafu inaumiza macho mchana! Inang'aa sana. Hakuna miwani(tinted) yakuzuia miale mikali ya barafu.
Nataka kuvunja record kupitia huu mlima.
Hivi kuna mtu amewahi kupanda kifua wazi?
Je nitaruhusiwa?
Baridi la kileleni ni nyuzi joto ngapi?
Or any ideas zakuniwezesha kuvunja record.
Mkuu Bavaria
Warusi ndiyo wanaweza mambo ya kukabili baridi kifua nje.
Sisi Afrika, tunataka kifo.
View attachment 275639
Glaciation, avalanches... Pia barafu inaumiza macho mchana! Inang'aa sana. Hakuna miwani(tinted) yakuzuia miale mikali ya barafu.
Hata Mtanzania anaweza kwenda polepole na kuona vizuri mlima, maua na kadhalika.
Sema tatizo ni gharama.
Kila ukikaa zaidi mlimani, unalipa zaidi kama ulivyoonyesha katika post yako.
Ilikua mwaka jana. Nilitumia dakika kadhaa hadi kufika juu kileleni ila ilikua kwa chopa. Picha zinakuja soon.....
Duh miaka hiyo hata sijazaliwa. Duh!!