Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

jamaa yangu mmoja alikua anadaiwa na mama mwenye nyumba wake sasa siku akampigiwa na yule mama kwamba lini atampa hela yake jamaa akasema nakutumia sasa hivi...ile kukat simu ikaingia msg km hyo jamaa akatuma bila kuuliza ilikula kwake
Same to me...japo mimi nilishtuka nikapiga kuconfirm,kuna wafanyakazi ambao sio waaminifu wanatoa mazungumzo ya wateja.
 
 
NGOJA NICHEZE NA AKILI ZA HAWA WEZI,WAMENITUMIA PIA.
 


Hizi meseji zingekuwa zinaitaja mamlaka iliyo juu, mhusika angekuwa amesakwa na TCRA na ameshaswekwa ndani siku nyingi, lakini kwakuwa zinawasumbua wanyonge basi hawaoni haja ya kulishughulikia.

Najiuliza swali, hivi watendaji wa TCRA hawalioni hili kama ni tatizo!? Hawasikii malalamiko ya wananchi juu ya kero hii? Nadhani vyombo vya habari vingewaita na kuwahoji mubashara wajitete dhidi ya wananchi.
 
Kwa kweli hili limekuwa tatizo sugu, na ajabu si makampuni ya simu wala TCRA inofanya lolote kuondoa usumbufu huu.
 
Uzuri mimi hata mke wangu simtumii pesa wewe utakuwa nani nikutumie pesa Nicheke Kihutu!
 
Hata mm nilitumiwa dadeki zao sikujibu kitu kwa kua nilijua ni matapeli?? sasa swali la kujiuliza ni kwamba namba zetu wanatoa wapi? ina maana huko kwenye mamlaka hamna watu wanatumiwa?
 
Leo mimi nimekutana na huu,inamaana bado wizi unaendelea,na ilikuwa ni muda mfupi kabla sijamtumia mtu hela,inaonekana wanafuatilia pia mazungumzo ya watu-"Ile hela inabidi uitume kwenye namba hii 0672730513 jina litatoka TAHIYATU SELEMANI usitume kwenye ile namba nyingine imefungwa."
 


Kipimo cha uwezo wa kazi kwa Kangi Lugola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…