Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

Msichoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
573
Reaction score
402
Wimbi la Wizi na Utapeli kupitia mitandao ya simu linazidi kuongezeka,Vijana wanatafuta njia nyepesi za kupiga pesa.
Nimefanya study yangu ndani ya mwezi huu nimegundua hawa matapeli ni wafanyakazi wa mitandao ya simu wenyewe au wafanyakazi wanatoa mawasiliano ya mteja kwa watu wa pembeni.
Ndani ya mwezi huu nimejitahidi kuunganisha dots na nimepata majibu....nimegundua kila ninapofanya mawasiliano na mtu ili nimtumie pesa kupitia njia za mtandao wa simu hasa M-PESA inaingia message kunielekeza namba ya kutuma pesa....

HIYO PESA ITUME KWENYE NAMBA HII 0742427692 JINA LITAKUJA ( FAUSTINE KEZE ) HII NI NAMBA YA WAKALA MAANA ILE NAMBA YANGU INATATIZO UPANDE WA M-PESA ASANTE .

Baada ya kuingia message hii nampigia yule ninayetaka mtumia pesa ili niconfirm (last alikuwa mama mwenye nyuma) akakataa akasema yeye hajatuma hiyo sms.
Imenitokea zaidi ya mara 3 nafanya the same hapo ndio inakuwa salama yangu.

Wafanyakazi wa Mitandao ya simu acheni kutoa mawasiliano yetu ili tutapeliwe pia mjue vyuma vimekaza kila mtu yupo makini.
 
Ni kuwa makini tu wengi washalizwa sana.
 
Hata mimi nilitumiwa ila nimewapa onyo na pia nimewataarifu watu wa karibu kuhusu hii ishu
 
Mi nimemkamulia matusi hadi akakata simu eti anatuma sms rahisi ile pesa tuma kwenye namba hii simu yangu inasumbua mpesa namuuliza pesa ipi anauma maneno kala matusi ya haja hajarudia tena
Mimi najitahidi kupiga hapokei
 
Mwenyewe nimekutana nayo hio sms na nikajarbu kumpigia ila hakupokea cm , na no aloitumia ilikua ya halotel
 
Mkuu,,hiyo texts imeingia muda si mrefu hapa,,na kuna mtu nilimuahidi hela jana usiku hakupatikana,nilivoiona nikadhani ni yeye kidogo nitume
 
Mi nimemkamulia matusi hadi akakata simu eti anatuma sms rahisi ile pesa tuma kwenye namba hii simu yangu inasumbua mpesa namuuliza pesa ipi anauma maneno kala matusi ya haja hajarudia tena
Ni mwanaume au wa kike ?
 
Mwenyewe nimekutana nayo hio sms na nikajarbu kumpigia ila hakupokea cm , na no aloitumia ilikua ya halotel
Nasikitika kuwa matapeli wengimwameamua kuutumia mtandao wa halotel zilivyo.

Matapeli wanaojifanya kutangaza uganga,mawakala wa Coca Cola na FIFA wotebwanatumia mtandao huo..... Kuna mmoja niliwahi kumuuliza,inakuwaje Coca Cola kampuni kongwe isubiri ujio wa mtandao huu mpya ndiyo wapate namba ya ofisi? Hakinipa jibu

Halotel wanatakiwa kuchukua hatua mapema,vinginvyo watakuwa suspects namba 1.
 
Airtel naona inaongoza kwa matapeli
haipiti week bila sms 3 tofauti za utapeli
 
Nilipopata hiyo sms wala sikusumbuka.
Nili-edit sms ya M-pesa niliyokuwa nimetumiwa pesa, pale kweny kiasi nikaweka 1mil, then nika-edit muda....nikamtumia
Then nikamtumia sms nyngn nikamwambia Samahani Kwa Kukucheleweshea Pesa Yako.
 
Hahaha Mabashite lazime mpigwe hela,utatumaje hela kwa mtu ambaye haumfahamu? Utatumaje fedha bila kumpigia huyo mtu kwa namba unayoijua for confirmation?
 
Back
Top Bottom