Wakurugenzi, maafisa wafawidhi, mameneja na wengine wenye access na per diems maofisini labda ndio ambao mishahara hukutana!! Wengine huwa ni balaa, tena hii mishahara inayotoka tarehe 25, kufikia tarehe 30 hakuna kitu!! Kuanzia tarehe 1 ya mwezi mwingine kunakua hakuna akiba, au inakuwepo kidogo sana ambayo katikati ya mwezi inakuwa imekauka kabisa.