Wangapi Mishahara Yenu Inakutana?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Yaani pesa za mshahara wa mwezi Januari zimekuta zile za mshahara wa December zipo kwenye amana ya akiba?
 
Wakurugenzi, maafisa wafawidhi, mameneja na wengine wenye access na per diems maofisini labda ndio ambao mishahara hukutana!! Wengine huwa ni balaa, tena hii mishahara inayotoka tarehe 25, kufikia tarehe 30 hakuna kitu!! Kuanzia tarehe 1 ya mwezi mwingine kunakua hakuna akiba, au inakuwepo kidogo sana ambayo katikati ya mwezi inakuwa imekauka kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom