Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
He he he.. Umemuelewa vema.. Nimependa comment yako
 
Watu walokuwa JF wanatoka sayari gani, na wamtaani wanatoka sayari gani??
Manake mi najua ndo sisi sisi
Wamtaani tunaonana Mubashara. Wa jf. Tunajuana kutokana na mijadala ya hapa na pale
 
Mimi mwenyewe naweza kukutongoza. Huko mtaani kwenu hamna wa kuwatongoza...
Mbona umekua mkali hivyo kusikia habari ya kutongozwa???Bila shaka wewe ni mwanaume unaetumia ID ya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…