MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Nenda kwanza kwa Daktari.atakushauri.pia km humjui Yesu ndo muda muafaka sasa kwako.
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;
Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu imenyolewa tena kipara hasa kinafanya kuwaka, nikajishangaa kwelikweli maana sijawahi kupata kisa kama hiki kabla.
Sasa huu ni mwezi wa saba unaisha ndevu hazijaota, nifanyeje ndevu ziote jamani mwenzenu!!!!
Msaada tafadhali wana JF.
:twitch: